Shemeji gani anakuja na Fuso la condom?🤣Mpokee shemegi huyo anakuja 🤣🤣
Shemeji gani anakuja na Fuso la condom?🤣Mpokee shemegi huyo anakuja 🤣🤣
😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣.......tutapitisha circular kila mgeni anayekuja aripoti kwa mwenyekiti wa mtaa kucontrol uharibifu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shemeji gani anakuja na Fuso la condom?🤣
Hii dar to babati si ndio inapitia Dodoma?Usafiri rahisi Dar to Babati then Babati to Dongobesh unafika saa 3 asubuhi tu. Mabasi Shabiby Maning Nice, Mtei, Polepole
Mkuu wasalimie huko Mzizima na pale Ilala kiwanda cha Ugimbi....Story za humu nilikua nawaza maybe Somalia huko...somewhere very hatari. ..haaaaaa...nchi imebarikiwa sn hii basi tu watu wanalialia njaa
Mambo gani ya kutishana mkuu??Huko ndio asili nyumbani asili yangu, waarab kama wazungu nusu, kama waethiopia, kuwa makini sana ni warembo mno, ukikosea kuchukua mke au demu wa mtu ukirudi na roho yako au moyo wako omba Mungu, kuwa makini sana, fanya yaliyokupeleka, ukiona warembo sana angalia tu, maana kuna mtu nyuma yake, wanapiga hao watu, nakushauri tena, fanya yaliyokupeleka. Haya, naamini umenisikia
Maining nice, ShabibyMwezi watano nina kazi kama ya wiki Babati na Siku tatu Mbulu, hasa Mbulu nilitaka kujua wana Lodge nzuri ? vip usafiri mzuri (Dar to Babati) ni wa mabasi gani.
Huko utazunguuka sana. Mkuu
Panda Shabby mpaka Babati piga mboji asubuhi nenda stendi ya zamani ulizia mabasi ya Dongobesh ...saa 6 or 7 unapiga ugali konkwi The Dongobeshi (Dabesh)
Nimecheka tu ushauri huohupendi condom?
OK hauwez salimiwa ww kwa sababu ww ni mwenyeji.Homo not omoo.. hapo kwenye shikamoo ni uwongo.
Mamire nakule Gijedabung......Nani amesema mapesi imesaliwa Tanga?, Mapesi imesaliwa huku Hanang Katesh, Babati ndani ndani Gallapo huku kwa kina prepetua Geheri
Mithali 1:10Mwanangu watu wabaya wakikushawishi utende dhambi usikubali...(mithali za Suleiman)
Chukua tahadhari
Barikiwa sana kwa referwnce babaaMithali 1:10
Lakini unaweze kuendelea kusoma mstari wa 11-19.
Barikiwa sana mkuu.
Mkuu si unaona jamaa anavyoshawishiwa mara abebe kondom mara ajiandae kwa watoto wazuri...huku si kushawishiwa akatende dhambi tu?Mithali 1:10
Lakini unaweze kuendelea kusoma mstari wa 11-19.
Barikiwa sana mkuu.
Kule duniani ukimuita mtu Homo maana yake shoga.Homo not omoo.. hapo kwenye shikamoo ni uwongo.
Wakuu habari za mapumziko ya mwisho wa juma? Na kwaresima na Ramadhan zenu natumai zinakwenda swadakta.
Kwa uweza wa Mungu kesho nitakuwa safarini kuelekea Dongobesh wilayani Mbulu. Kwa yeyote mwenye uzoefu na mahali hapo anaweza shea humu mazuri na mabaya ya hapo.
Nitakuwa hapo kwa mwezi mmoja kikazi. Nawasilisha na ahsanteni sana.