Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017

Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa Mahakamani na Mawakili wa Kujitegemea na inatarajiwa kuanza kusikilizwa Desemba 3 mwaka huu

NIPASHE
Mkuu, Makonda hajashitakiwa bado ila mawakili wameomba mahakama ili waweze kumshitaki Makonda.
Kwa hiyo Desemba tatu wanaenda kusikiliza application ya kuomba kumshitaki Makonda....ikikubaliwa ndo wataweza kumshtaki.
 
DPP Kwann asisimamie yeye hiyo kesi? Anajifanya hakuona yaliyotokea? Au sabaya alikua na bifu binafsi na maza? Maana mambo aliyoyafanya sabaya na makonda yanaendana tu inawezekana makonda ana mahusiano mazuri na mama ndo maana wanapotezea potezea
 
Neno jinai haifi linamtesa Sana bashite anajutia upumbavu.
Ndumba ni Kitu kibaya sana upunguza uwezo wa kufikiri hasa ukiwa mteja wa ndumba
 
Alexander mnyeti naye kuna mawakili wamesha andaa documents kwa ajili ya kuwasilisha mahakamani ili kumshitaki
Byakanwa aliyeharibu Shamba la Mbowe nae kesi inamhusu, inatakiwa wahuni wote walioumiza watu Ili kumfurahisha shetani wavune mapando yao.
 
Hapo mshitaki ni nani sasa?,ni Jamuhuri? ,Au mtu binafsi?
Kote kote kesi anayo.
. JAMHURI
1.matumizi mabaya ya madaraka
2.Kuwanyima watu haki ya kuishi
3.Kuibia serikali kwa kutumia cheti bandia kupata ajira serikalini
4.Matumizi mabaya ya fedha za umma
5.Uhujumu uchumi
6.Kumiliki genge la wasiojulikana

BINAFSI
1.Kuvamia ofisi na kuharibu, kutishia,
2.Kutishia kuua,kudhuru wakosoaji
3.kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu makonda style
4.kudhalilisha watu kwa kuwatukana,kuwapakazia kesi za madawa, uhujumu uchumi,nk
5.Kujaribu kuua tukio la Area D
6.

Huyu pimbi hata kama madame speaker anamlinda kabla ajaondoka duniani ni lzm atalipia matendo yake tawala uja tawala upita, itaingia tawala aliyoiumiza yatamkuta ya siongei na mbwa.
 
viherehere waliokuwa wanafanya kazi kinafiki wako wengi, watulie zamu yao itafuata
Hii Dunia ukiwa unacheka elewa mwingine analia maisha ni zamu kwa zamu.
Ilitakiwa na wahuni wote waliokuwa wakiwapa sapoti kufanya uhalifu waunganishwe nao.Inakuaje sabaya afungwe then unamwachaje OCD wa Hai na mapolisi wote walioshiriki nae kwenye operation binafsi.
 
Kajamaa kalijisahau sana enzi za mtakatifu jiwe! Bado waliowapoteza kina Ben, Azory, .............
pia itajulikana walisiojulikana kummiminia lissu risasi, ngoja kesi za viherehere zianze kunguruma watatajana bila kupenda
 
Back
Top Bottom