Black Thought
Senior Member
- Feb 25, 2015
- 160
- 406
Habari wakuu.
Inajulikana Wengi kwenye kujenga tunahofia gharama kubwa za ujenzi.
Sasa hapa nimewaletea design ya nyumba ya vyumba vitatu, jiko, dining na sebule ya gharama nafuu.
Kinachoifanya design hii kuwa ya gharama nafuu ni sababu hizi kuu tatu muhimu
1. Ina floor area (BuiltUp area= 83.3sqm) ndogo sana huku ikiwa na vyumba vya ukubwa wa kawaida kabisa. Kilichofanya kupungua kwa eneo ni kutumika kwa korido kuwa dining, na kupunguzwa kwa korido kiujumla.
Hii ndio sababu kubwa zaidi kwasababu Kwa wastani nyumba ya vyumba vitatu huwa na floor area ya 100sqm (inaweza pungua au kuongezeka). Na kitaalamu (kwa mujibu wa CRB) sqm moja ina gharimu kati ya Tsh 400,000 mpk Tsh 600,000.
2. Haina kona nyingi.
Bati lake lina zile kona nne za lazima na kwa “design” imewekwa “gable” ndogo mbele ili kuipa mvuto tu kwa mbele.
Kumbuka kadri unavyoongeza kona ndivyo unavoongeza
1>idadi ya bati zinatakazo katwa na kutupwa na
ii> pia unaongeza kofia (Hip) na
iii> Unaongeza mifereji (valleys) itakayohitaji
3. Vyoo vipo upande mmoja.
Hivo utahitaji bomba chache (kama mbili tu) kuyafikisha maji taka kwenye mashimo. Pia hautahitaji kuongeza chemba (maholes) kwaajili ya kuunganisha mabomba
Nimeweka idadi ya tofali za msingi = 938 kwa kozi sita
Tofali za juu/boma … = 1,643 kwa kozi (10+3)
Na bati =59pc
Kwenye ramani lakini ukihitaji mchanganuo kamili unaweza kutucheki whatsapp kwa 0717682856