House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Moshi mjini

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,193
5,123
Habari wandugu ...,
Nawaleteeni huduma bora kabisa na ya haraka zaidi kwa mahitaji tajwa hapo juu karibu nawe....
Zote zinapatikana Moshi mjini kona zote au mitaa yote na utazipata ka haraka zaidi .....

Na kwa ushauri wa sehemu nzuri ya kuishi , sehemu nzuri ya biashara ya fremu utapata bure kabisa

Kumbuka ni moshi mjini yoote (pasua , soweto ,uzunguni ,YMCA, kb , Rau , mbuyuni , BONITE /shirimatunda , moshi town , ushirika wa neema , kcmc...., n.K)

Kuhusu gharama za vyumba zinaanza
40,000 ++50,000+++60,000 vyumba vya kawaida++++
single self 60,000++80,000++100,000++++....
double self rooms 100,000 ++120,000++150,000+ ....
Nyumba nzima ya vyumba vitatu na kuendelea kuanzia 200,000++250,000++300,000+++400,000.....

Fremu za biashara....Kuanzia 60,000 bei ya chini kabisa+80,000
100,000++120000++150000+++++mpaka++++400,000 bei ya juu +++ na inategemeana na eneo husika



NA PIA........ NAPENDA TAARIFU KWA WANAOHITAJI MASHAMBA KWA AJIRI YA KILIMO WASISITE KUWASILIANA NAMI KWANI PEMBEZONI YA MJI HUU WA MOSHI KUNA MASHAMBA YA KUTOSHA KABISA NA MAKUBWA YANAFAAA KWA KILIMO CHA BIASHARA NA CHA UMWAGILIAJI......,

ALKADHALIKA KWA WANAOHITAJI OFFICE SPACE YAANI MAJENGO KWA AJIRI YA OFISI HAPA MOSHI MJINI WASISITE WASILIANA NA MIMI....KUNA SEHEMU NZURI/MAJENGO MAZURI YA KUWEKA OFISI ZAO KULINGANA NA NATURE YA KAZI/SHUGHULI ZAO NA PIA MAZINGIRA MAZURI.........


Wasiliana nami 0672701329 au 0756294771 ...Uje ujipatie kwa gharama nafuu kabisa....

Asanteni....​
 
karibuni ,,,watejaa wanakuja wengi na wanapata as usual............maana zipo nyumba vyumba vingii sanaa
 
asanteni wote mnaokuja na kuona na hongereni wote mnaolipia ....tupo kikazi zaidi
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯


YESSSSSSS APARTMENT SERVICE HAPA MOSHI MJINI NA MAENEO JIRANI INAENDAAAAA VYEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAA KABISAAAA HONGERENI NA ASANTENI MNAOKUJA NA KUONA NA PIA PONGEZI KWENU WOTTEEEEE KWA MNAO LIPIA NA KUENDELEEAA KUISHI




TUPO PAMOJA........ KWA MAWASILIANO NI NAMBA ZA MAWASILIANO 0756294771 AU 0672701329



KARIBUNIIII


🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟
 
DAH SIKU HII YA TAREHE 29 FEBRUARY NI SIKU MAALUMU KABISA MAANA HUTOKEA KWA NADRA SANA ......ILA LEOOOO MHHH SIKU IMEENDA VYEMA BAADA YA KUSAIDIA WATEJA WAWILI KUPATA ACCOMODATIONS TENA NYUMBA NZURI KABISAAAAAAA HAPA HAPA MOSHI.......... NA NI KWELI SIKU HII NI SIKU SPECIAL KABISAAAAAAAAAAAAAA





NA PIA NAPENDA TAARIFU KWA WANAOHITAJI MASHAMBA KWA AJIRI YA KILIMO WASISITE KUWASILIANA NAMI KWANI PEMBEZONI YA MJI HUU WA MOSHI KUNA MASHAMBA YA KUTOSHA KABISA NA MAKUBWA YANAFAAA KWA KILIMO NA UKIZINGATIA MUDA HUU WA MSIMU WA MVUA HUKU KASKAZINI MWA TANZANIA......

ALKADHALIKA KWA WANAOHITAJI OFFICE SPACE YAANI MAJENGO KWA AJIRI YA OFISI HAPA MOSHI MJINI WASISITE WASILIANA NA MIMI....KUNA SEHEMU NZURI/MAJENGO MAZURI YA KUWEKA OFISI ZAO KULINGANA NA NATURE YA KAZI/SHUGHULI ZAO NA PIA MAZINGIRA MAZURI.........


ASANTENI
 
habari zenu...wana kaskazini.....kazi bado zinaendelea....... kwa mahitaji yote yaliyotajwa hapo juu yanapatikana kwa urahisi na gharama nafuu kabisa....


karibuni.....24/7
 
Nakushauri uwe na website na usajili jina la biashara brela then ukija huku utumie jina la biashara na uwe verified. Utaifaidi JF Mkuu.

Kila la heri.
nice and good constructive advice , will be looking into it shortly
 
wakuu as of today 16 th march 2024 nimepokea majengo mawili yaliyopo hapa moshi mjini , yanayofaa kwa ofisi yenye departments za aina tofauti..............kwa wenye uhitaji wa eneo au jengo la ofisi aweza wasiliana na mimi .


asante
 
SERVICE IS STILL AVAILABLE 24/7 ....................KWA WANAOHITAJI NYUMBA NZIMA YENYE ATLEAST VYUMBA VIWILI , VITATU VYA KULALA MAENEO YOTE KARIBUNI MAANA ZIMEKUJA NYUMBA NYINGINE NZURI NA NI STAND-ALONE HOUSES INSIDE A SINGLE FENCE

LIKEWISE FREMU ZA BIASHARA PIA ZIPO ....KARIBUNI.....



0756294771
 
karibuni ,,,watejaa wanakuja wengi na wanapata as usual............maana zipo nyumba vyumba vingii sanaa
Karibia na Kili Marathon 2025, Feb mwshoni Inshallah Nikakutafuta maana wakat huo ndio scarcy ya accommodation huwa inaonekana Moshi!!
 
ILA DAH HAKUNA KITU KIZURI KAMA MVUA . MAANA INA INFLUENCE HALI YA HEWA... HILI MVUA LINALO MWAGIKA HAPA MOSHI AND NORTHEN ZONE REGIONS HAHHH NI BONGEEEE LA MVUAAAA
 
Single self zenye kabati la kioo lililo ukutani kama hii zipo ..wewe ni cheki tyuu


Pia kuna kila aina ya chumba , nyumba nzima na fremu kwa ajili ya biashara.......


Mawasiliano....0756294771 au 0672701329



Nipo moshi mjini....service inakwenda mpaka hili , himo , Bomang'ombe , but soon tuu arusha
 

Attachments

  • VID_20240329_101905.mp4
    18.6 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom