Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

Chadema ipo ICU na endapo hawatawafukuza wabunge wa kike waliouzwa Bungeni kitumwa kwa njia haramu za kishetani, chadema utambue kuwa unaenda kufariki kama CUF ya Lipumba
Meko anafikiri pesa inanunua kila kitu duniani, lakini pesa hainunui maamuzi ya Mwenyezi Mungu afahamu hilo.
 
Ijumaa kuna mawili chadema kupona toka ICU au kufariki moja kwa moja endapo haitawafukuza wabunge wa kike waliouzwa kitumwa Bungeni kwa njia haramu za kishetani
 
Meko anafikiri pesa inanunua kila kitu duniani, lakini pesa hainunui maamuzi ya Mwenyezi Mungu afahamu hilo.
Njia pekee iliyobaki kuinusuru chadema isipotee kwenye ramani ya siasa ni kuwafukuza mdee Bulaya matiko na kikundi chao chote, mbowe kuwa jasiri jitoe muhanga uishangaze Nchi kwa maamuzi ya mbolea
 
1606347275599.png
 
1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake.

2. Mahakama kwa Tarehe hiyohiyo ilikimbizwa mchamchaka na dola ikabariki atolewe na baada ya kutoka akakabidhiwa kwa serikali ambayo ndiyo iliyomtuhumu.

3. Baada ya kupindua mhimili wa serikali na mahakama, Nusrat akisaidiwa na Tume ya uchaguzi (serikali) Tarehe 24/11/2020 akatinga kwenye viunga vya Bunge na kukutana na spika kisha spika akamwapisha kuwa Mbunge wa viti maalumu. Ikumbukwe Mbunge huyu anatakiwa apitishe fomu zake za Ubunge mahakamani hivyo yawezekana mahakama ilitumika pia kubariki kilichotokea bungeni. Bunge nalo likabeba mapungufu ya serikali na kuyapiga mhuri, Nusrat leo ni mbunge siyo mahabusu Tena.

Nusrat anatukumbusha kwamba unapodai haki yako na ukaamini katika kuwatetea wananchi movu huibuka na kuvunja misingi yote ya sheria na kukuinua.

Nusrat Mtuhumiwa amefanya miujiza mikubwa inayopaswa kuandikwa kwenye mbao mbalimbali, ndani ya saa ishirini na nne amekuwa na hadhi tatu muhimu ambazo ni binadamu wachache wamewahi kuzipata Duniani. Hadhi hizo Ni;
1. Hadi tarehe 23/11/2020 jioni alikuwa Mtuhumiwa wa makosa yasiyo na dhamana akiishi mahabusu.
2. Tarehe 23/11/2020 usiku akatoka gerezani akiwa Mwananchi huru asiye na hatia na kuelekea nyumbani kuoga na kuchagua nguo ya kuvaa siku iliyofuata. Natumai hakulala
3.Tarehe 24/11/2020 asubuhi akaibuka kwenye viunga vya Bunge na kushika msahafu kisha kuapishwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano ya Tanzania yaani Mheshimiwa huku akiwa na kinga ya kibunge.

Haya yanatokea ulimwenguni ambapo kila Jumapili tunashinda nyumba za ibada kumwabudu muumba, haya yanafanywa na binadamu walewale ambao wanaomba Mungu atuepushe na balaa. Haya yanafanywa na binadamu wakitumia vitabu vitakatifu kuapa mbele ya vyombo vya habari. Nadhani Nasrati anatuonyesha kwamba adui yetu siyo Beberu bali adui yetu ni mtu mweusi anayelipwa fedha na watanzania kufanya maigizo ndani ya Tanzania kwa kutumia ofisi za umma na kutumia vitabu na misaafu tunayoamini ni mitikatifu. Tunajiombea adhabu kwa Mungu, nadhani adhabu ipo mbioni kuwapata wanaowatendea Hawa viumbe haya. Si utashi wa Nasrati kuapa bali ameapa kuinusuru familia yake na ya mahabusu wengine waliokua hawana hatia. Ipo siku Nasrati atakua huru, ipo siku atapata nguvu yakusimamia anachokiamini. Pole Nasrati na hongera kwa kuteuliwa kuwa Mbunge ukitokea Mahabusu. Wameona unafaa, wameona unakitu Cha ziada kwa Taifa, usilipize tenda kwa nafasi uliyopewa.

Hongera Mtuhumiwa, hongera mtu huru, hongera Mbunge, hongera mpiganaji. Umeandika historia.
Msimsikilize Mnyika ni muongo na mpotoshaji na siku zote hajawahi kutoa malalamiko juu ya lolote ikawa kama alivyozusha ,, hana akili timamu huyo,,, Mbowe anajua afanyacho, Nusrat kutoka maahabusu ni mchakato uliochukua zaidi ya wiki ila kutoka nje ni dakika 3 hivyo kama ni form zilijazwa akiwa maabusu na hata viwalo ni kitu rahisi na tiketi ya ndege kwenda DOM,, Msimsikilize Mnyika hayuko sawa mahali fulani,,, mbona Mbowe hajasema kitu na hao kina Mwalimu wako wapi??
 
Kuna mtu ana Mkono wa chuma ndio yuko nyuma ya haya yote., what is impossible is possible within a second.,

Kuna wakati watanzania wanajiuliza kuna haja gani kuwa na majengo na gharama kama hizi mahkama zetu., kuajiriwa majaji kulipwa mishahara na posho mbali mbali wakati kuna mahali unaweza aidha kupata zaidi ya haki zako au kuzikosa kabisa na kwa muda mduchu sana.,
Hasante sana mkuu, kwakweli binafsi kwa sasa naona silazimiki kufuata sheria na taratibu za nchi nikiwa na jambo langu bali hekima, busara, maarifa na mazingira yatakayo kuwepo.
 
Msimsikilize Mnyika ni muongo na mpotoshaji na siku zote hajawahi kutoa malalamiko juu ya lolote ikawa kama alivyozusha ,, hana akili timamu huyo,,, Mbowe anajua afanyacho, Nusrat kutoka maahabusu ni mchakato uliochukua zaidi ya wiki ila kutoka nje ni dakika 3 hivyo kama ni form zilijazwa akiwa maabusu na hata viwalo ni kitu rahisi na tiketi ya ndege kwenda DOM,, Msimsikilize Mnyika hayuko sawa mahali fulani,,, mbona Mbowe hajasema kitu na hao kina Mwalimu wako wapi??
Mbowe huyu " anayelizwa" na sabaya kila siku, hana nguvu hata punje za kuiamuru mahakama....
 
Ushauri wa bure kwa mtoa mada

1. Achana na siasa za Tanzania. Kwa usalama wa afya yako, NEVER TAKE TANZANIAN POLITICS SERIOUSLY

2. Tumia muda wako kula vizuri, kunywa maji mengi, kula matunda na fanya mazoezi

3. Hakikisha unatafuta future ya watoto wako na wewe mwenyewe kwa njia zingine zozote nje ya siasa

4. Sio kila unaemuona kanisani kavaa koti kafunga mikono kifuani anasali kwa unyenyekevu anakuwa ana maanisha

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
Nyerere angekuwa na mawazo kama yako tusingepata uhuru mwaka 1961.
 
Safi sana!
Ushauri wa bure kwa mtoa mada

1. Achana na siasa za Tanzania. Kwa usalama wa afya yako, NEVER TAKE TANZANIAN POLITICS SERIOUSLY

2. Tumia muda wako kula vizuri, kunywa maji mengi, kula matunda na fanya mazoezi

3. Hakikisha unatafuta future ya watoto wako na wewe mwenyewe kwa njia zingine zozote nje ya siasa

4. Sio kila unaemuona kanisani kavaa koti kafunga mikono kifuani anasali kwa unyenyekevu anakuwa ana maanisha

Sent from my SM-G973F using JamiiForums mobile app
 
1. Tarehe 23/11/2020 Mtuhumiwa Nusrati aliyekuwa mahabusu bila dhamana alitolewa gerezani. Muhimili uliotumika kumtoa gerezani ulikua ni Inasikitisha mhimili wa serikali kwa kile kilichoelezwa kwamba Jamhuri ambayo ni Mimi na wewe hatuna haja ya kuendelea na kesi yake.

2. Mahakama kwa Tarehe hiyohiyo ilikimbizwa mchamchaka na dola ikabariki atolewe na baada ya kutoka akakabidhiwa kwa serikali ambayo ndiyo iliyomtuhumu.

3. Baada ya kupindua mhimili wa serikali na mahakama, Nusrat akisaidiwa na Tume ya uchaguzi (serikali) Tarehe 24/11/2020 akatinga kwenye viunga vya Bunge na kukutana na spika kisha spika akamwapisha kuwa Mbunge wa viti maalumu. Ikumbukwe Mbunge huyu anatakiwa apitishe fomu zake za Ubunge mahakamani hivyo yawezekana mahakama ilitumika pia kubariki kilichotokea bungeni. Bunge nalo likabeba mapungufu ya serikali na kuyapiga mhuri, Nusrat leo ni mbunge siyo mahabusu Tena.

Nusrat anatukumbusha kwamba unapodai haki yako na ukaamini katika kuwatetea wananchi movu huibuka na kuvunja misingi yote ya sheria na kukuinua.

Nusrat Mtuhumiwa amefanya miujiza mikubwa inayopaswa kuandikwa kwenye mbao mbalimbali, ndani ya saa ishirini na nne amekuwa na hadhi tatu muhimu ambazo ni binadamu wachache wamewahi kuzipata Duniani. Hadhi hizo Ni;
1. Hadi tarehe 23/11/2020 jioni alikuwa Mtuhumiwa wa makosa yasiyo na dhamana akiishi mahabusu.
2. Tarehe 23/11/2020 usiku akatoka gerezani akiwa Mwananchi huru asiye na hatia na kuelekea nyumbani kuoga na kuchagua nguo ya kuvaa siku iliyofuata. Natumai hakulala
3.Tarehe 24/11/2020 asubuhi akaibuka kwenye viunga vya Bunge na kushika msahafu kisha kuapishwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano ya Tanzania yaani Mheshimiwa huku akiwa na kinga ya kibunge.

Haya yanatokea ulimwenguni ambapo kila Jumapili tunashinda nyumba za ibada kumwabudu muumba, haya yanafanywa na binadamu walewale ambao wanaomba Mungu atuepushe na balaa. Haya yanafanywa na binadamu wakitumia vitabu vitakatifu kuapa mbele ya vyombo vya habari. Nadhani Nasrati anatuonyesha kwamba adui yetu siyo Beberu bali adui yetu ni mtu mweusi anayelipwa fedha na watanzania kufanya maigizo ndani ya Tanzania kwa kutumia ofisi za umma na kutumia vitabu na misaafu tunayoamini ni mitikatifu. Tunajiombea adhabu kwa Mungu, nadhani adhabu ipo mbioni kuwapata wanaowatendea Hawa viumbe haya. Si utashi wa Nasrati kuapa bali ameapa kuinusuru familia yake na ya mahabusu wengine waliokua hawana hatia. Ipo siku Nasrati atakua huru, ipo siku atapata nguvu yakusimamia anachokiamini. Pole Nasrati na hongera kwa kuteuliwa kuwa Mbunge ukitokea Mahabusu. Wameona unafaa, wameona unakitu Cha ziada kwa Taifa, usilipize tenda kwa nafasi uliyopewa.

Hongera Mtuhumiwa, hongera mtu huru, hongera Mbunge, hongera mpiganaji. Umeandika historia.
Duuh.. Kinachohuzunisha ni kuwa, kwa sasa UADILIFU umekuwa adimu sana kwa mihimili yoote: serikali, mahakama, bunge.. Hivyo, hata kama kuna anayeonekana waziwazi kupotoka, hakuna wa kumfunga paka kengele. Nchi imekuwa kama yatima!!!

Hata wale wana DiNI kimyaaa
 
Hasante sana mkuu, kwakweli binafsi kwa sasa naona silazimiki kufuata sheria na taratibu za nchi nikiwa na jambo langu bali hekima, busara, maarifa na mazingira yatakayo kuwepo.
Mahakama zinatakiwa kuwa takatifu kwa asili, lkn hizo zetu sasa zinatumika "kubariki" ulaghai
 
Back
Top Bottom