minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,640
- 20,367
Maandamano tarehe 2 lakini tarehe moja Polisiccm wakaanza vitisho ikiwemo kuwakamata viongozi wa chadema siku moja kabla ya maandamano ni kwa nini hawakusubiria ifike tarehe 2 ? Nani muoga hapo?Ulipoitwa kuandamana ulijitokeza?
Kama hukutokea nani kamsaliti mwenzake.