Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

Hauko serious! Kulalamika ndio ujuacho! Kama unao ushahidi lete mahakamani! Vinginevyo acha utoto! Si umeona wenye ukweli wamewahi kuingia bungeni maana wanajua mapichapicha yaliyochezeshwa!
Mahakama ipi kwenye mfumo huu huu unaozidi kujigalagaza chini ya Mungu mtu? Wewe ndio nadhani hauko serious.
 
Mahakama ipi kwenye mfumo huu huu unaozidi kujigalagaza chini ya Mungu mtu? Wewe ndio nadhani hauko serious.
Ondoa chuki ndani ya moyo wako utaweza pata taswira sawia mpendwa ndugu yangu! Mahakama zetu zinajitahidi sana kufanya fair 'judgements' ingawa kuna makauzu wachache wanao'abuse' mahakama pia! Hii haipo Tz peke yake, ni swala lilopo duniani pote!
 
Pole sana.
Ninazidi kusikitishwa kwa jinsi unavyojaribu kuhalalisha UKANDAMIZAJI wa uhuru na haki za binadamu.
Ndugu yangu, kuukumbatia udhalimu ni DHAMBI kwa binadamu na mbele za Mungu.
Chuki kwa fikra na matendo YOTE ya aina hiyo ndio YAHITAJIKA ili kujenga jamii yenye upendo na inayojali na kuthamini ubinadamu kwa wote bila ya ubaguzi. AMEN.
 
Ushauri wa bure kwa mtoa mada

1. Achana na siasa za Tanzania. Kwa usalama wa afya yako, NEVER TAKE TANZANIAN POLITICS SERIOUSLY

2. Tumia muda wako kula vizuri, kunywa maji mengi, kula matunda na fanya mazoezi.

3. Hakikisha unatafuta future ya watoto wako na wewe mwenyewe kwa njia zingine zozote nje ya siasa.

4. Sio kila unaemuona kanisani kavaa koti kafunga mikono kifuani anasali kwa unyenyekevu anakuwa ana maanisha.
Comment bora ya mwaka 2020!
 
Yai la mbuni, sidhani kama ulinielewa! Sijahalalisha uonevu wala ukandamizaji wa haki za watu kwa kuwa hata mimi sipendi haki yangu ipokwe! Nilisema mwaka jana kuwa wapo makauzu ambao wamepata nafasi za kuhukumu lakini hulka zao si za kupenda haki bali kile kinachowafaidisha wao wenyewe! Hawa makauzu wapo kote duniani na sio Tz pekee! Hawa tutaendelea kuwamulika! Ukauzu ni hulka ya mtu na haina ufungamano na chama wala serikali iliyopo madarakani! Ingawa wanaweza jinafasi zaidi kama serikali iliyopo madarakani ni 'corrupt'! Tumshukuru Mungu kwa serikali yetu ya sasa ambayo imejitahidi kuwabana makauzu hao na kwa sasa wanafanya ukauzu kimachale sana! Ni hivyo tu ndugu yangu, uwe na mwaka mpya wenye mafanikio mema pasi chuki na hasira, amen!

Back
Top Bottom