Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Kesi imeahirishwa.Mahakama imekubali kuna kosoro kwa upande wa mahakama
Baada ya siku 14 marekebisho yatafanyika halafu kesi itarudi tena mahakamani
Siku kumi na nne kufanya marekebisho?
Kesi imeahirishwa.Mahakama imekubali kuna kosoro kwa upande wa mahakama
Baada ya siku 14 marekebisho yatafanyika halafu kesi itarudi tena mahakamani
Uongo mtupu. angalia hapo kwenye RED.Leo ni leo kusuka ama kunyoa HIGH COURT DAR, kamanda Lema anaweza akarudishiwa ubunge au akaukosa, hilo linategemea maamuzi ya jopo la majaji wa mahakama kuu ikiongozwa na jaji mkuu. Kwa hiyo hapa kunaweza kutokea ya OBAMA au ya ROMNEY (GOD FORBID)
Watakaotoa hukumu ambao wameteuliwa na serikali ambayo imetokana nachama ambacho kila siku kinatafuta namna ya kusambaratisha watu wanaowaona wachungu kwao,Mungu humsaidia mtu ambaye naye anajisaidia na kumuomba peke yake bila kufanya kitu haisaidii.Wameumia wakina nani tena? Tuache mahakama iamue tu kama haki ipo basi itakuwepo tu haina shida muhimu ni kuomba Mungu haki itendeke kwa pande zote!
Kesi imeahirishwa.Mahakama imekubali kuna kosoro kwa upande wa mahakama
Baada ya siku 14 marekebisho yatafanyika halafu kesi itarudi tena mahakamani
Makamanda wanasizitiza ni matembezi ya miguu sasa hatupandi gari kutoka mahakamani
Sawa mkuu,kuheshimu uhuru wa mahakama ni jambo muhimu sana .Lakini ninyi mnatutia wasiwasi,kwanini kesi hii mmeiamishia DAR?Wanabodi na wanaushirika.
Tujenge utamaduni wa kuheshimu uhuru wa mahakama tukubali hukumu yoyote itakayotolea na mahakama.
Makamanda wanasizitiza ni matembezi ya miguu sasa hatupandi gari kutoka mahakamani
Uongo mtupu. angalia hapo kwenye RED.
Kesi imeahirishwa.Mahakama imekubali kuna kosoro kwa upande wa mahakama
Baada ya siku 14 marekebisho yatafanyika halafu kesi itarudi tena mahakamani
Ok, nimekuelewa.
hii kesi naona inawaumiza kichwa sana! hawa waiahirishe mara 100, ukweli utakuja kujitenga tu siku moja!
Mkuu si unajua tena bodi za wakwere?teh teh teh!Bodi ipi ? ya korosho songa mbele huko ukanywe gahawa
Kweli Lema na CDM kwa ujumla wamekosa mvuto kila mahali na hapa JF. Nimeamin ule msemo kuwa ngoma ikilia sana hupasuka. Nakumbuka kuna kipindi ikianzishwa thread inayomhusu Lema au CDM inakuwa na wachangiaji zaidi ya 200+. but now nashangaa hata posts 30 hazifiki!!! Am happy watanzania wamepevuka!!!