Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,303
Nikijaribu kuchanganua kidogo kwa upeo wangu ni kua CCM sio kwamba hawajui nini kitafuata kama uchaguzi utarudiwa! La hasha wanachokitaka CCM ni kua hawamtaki na wala kumsikia Lema bungeni! wanadai ni bora aje mbunge mwingine wa CHADEMA na sio Lema! Kweli huyu jamaa anawanyima usingizi CCM!