Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Nomba ufafanuzi makamanda, kwanini kesi hii ilihamishiwa Dar? Ni hilo tu. M4C!!!!
 
Mkuu asante kwa kutupa ufafanuzi. inaonekana unafahamu sheria vizuri. Hebu tutolee dondoo kidogo ya hayo makosa na je ni nani ameyafanya au kuyasababisha?

Hayo makosa ni ya waliyoandaa rufaa ya Lema.Ndiyo maana nikatoa msisitizo kuwa,mawakili wa Lema wajitahidi sana kutorudia makosa mengine ambayo yanaweza kusababisha mapingamizi mengine na hivyo kuchelewesha rufaa kusikilizwa.
 
Nomba ufafanuzi makamanda, kwanini kesi hii ilihamishiwa Dar? Ni hilo tu. M4C!!!!

Nadhani ni kwa kuwa ilikuwa ni kesi ya mahakama ya rufaa. Ngoja zomba akija atakufafanulia.
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wangu kwa majaji naomba watende haki ili wasiatalishe maisha ya watanzania na mali zao! na hata kwa usalama wa maisha yao wenyewe majaji!
 
Ushauri wangu kwa majaji naomba watende haki ili wasiatalishe maisha ya watanzania na mali zao! na hata kwa usalama wa maisha yao wenyewe majaji!

Kamanda Sunga hope wamejifunza kwa jaji Rwakibarula aliyemhukumu LEMA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom