Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Manyang'au wenye hila mbaya wanaweza tumia ubabe wao. ila Mungu atamsaidia bw Lema. Wananchi waArusha walinyimwa haki yao.
 
Lema anakutana na waandishi wa habari nje ya mahakama ya rufaa
 
Kwa nini tunapotoshana hapa JF? leo si siku ya Hukumu ya kurudishiwa Ubunge ama kunyang'anywa bali ni kutowa maamuzi ya pingamizi la walalamikaji kama Rufaa isikilizwe ama isisikilizwe.

Ni lini Rufaa hii ilisikilizwa mpaka leo ndio iwe siku ya Hukumu? tusipende kuripoti vitu ambavyo hatuna uelewa navyo na matokeo yake ni kupotosha jamii nzima, na cha kusikitisha mpaka magazeti ya kijinga nayo yameandika ujinga huu huu.
 
Makamanda wanasizitiza ni matembezi ya miguu sasa hatupandi gari kutoka mahakamani
 
Jembe Lema anaongea na wanahabari, jamaa anajiamini sana!

Pipoooooooz Pawaaaaaa!

CCM mtatafuta hifadhi ya kisiasa mwaka huu hadi ifike 2015 mtakuwa hoi!
 
hii kesi naona inawaumiza kichwa sana! hawa waiahirishe mara 100, ukweli utakuja kujitenga tu siku moja!
 
Back
Top Bottom