Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

There are currently 523 users browsing this thread. (146 members and 377 guests)


CHEZEA LEMA WEYE NYINYIEM
 
Heee ama kwa hakika maajabu hayatakaa yaishe nchini Tanzania hasa huko mahakamani.
Kwanini hawakurekebisha hizo kasoro mapema kabla ya kupanga tarehe ya kutoa hukumu ya pingamizi?
Walikuwa na sababu gani ya kubadili tarehe toka 29/11 ya awali hadi 8/11 wakati wakijua kuna kasoro kwa upande wa mahakama?

Mkuu zaidi ya kesi mpango mwingine chini ya kapeti ni kumsumbua Lema na wana Chadema kisaikolojia, nina uhakika wameingia hapo mahakamani wakijua hayo mapungufu yote na s kwamba wameenda kuyajulia mapungufu mahakamani hii asubuhi, ni uhuni wanao ufanya kuchelewesha haki bila sababu za msingi ili watu wakae wakiwaza kesi na si mambo mengine ya maendeleo.

Ccm imeharibu mfumo wa elimu kila mahali ni ubabaishaji tu.
 
Kwa nini tunapotoshana hapa JF? leo si siku ya Hukumu ya kurudishiwa Ubunge ama kunyang'anywa bali ni kutowa maamuzi ya pingamizi la walalamikaji kama Rufaa isikilizwe ama isisikilizwe.

Ni lini Rufaa hii ilisikilizwa mpaka leo ndio iwe siku ya Hukumu? tusipende kuripoti vitu ambavyo hatuna uelewa navyo na matokeo yake ni kupotosha jamii nzima, na cha kusikitisha mpaka magazeti ya kijinga nayo yameandika ujinga huu huu.

Umekuja kwa jazba pasipokutambua kuwa hata ukimya wako wewe unaejua umechangia kwa kiasi kikubwa kutokea kwa hicho unachokiita upotoshaji, unapokuwa na mawazo mazuri ukashindwa kuyaweka hadharani unatoa nafasi kwa wenye mawazo yao mabaya kutamalaki
 
Siku kumi na nne kufanya marekebisho?

Hapa pana Delaying techniques...ona siku zilizotumika kuona kwamba mahakama ilifanya kosa hivyo document ziwe submitted upya. Mbona ilipaswa kuwa kesho yake tu baada ya changamoto za mawakili? Ivi madaktari wangekuwa wanatumia nuda mwingi namna hii kupima na kumpatia mgonjwa dawa nani angepona?
 
Tunazidi kuiaribu tanzania ye2 tu. Bora 2015 ifike haraka sana. Mungu ibariki tz ye2.
 
Zimekuwa dana dana sasa, Lissu alisha sema majaji hawana sifa
 
Poleni makamanda mmekodisha costa kumi kutoka Arusha na Kilimanjaro mpaka Dar, kesi imepigwa tarehe mtarudi au mtasubiri mpaka tarehe 14.
 

Point of correction, ni Court of Appeal of Tanzania, sio High court na sio majaji wa mahakama kuu ni majaji wa mahakama ya rufaa wakiongozwa na jaji mkuu.
Safi sana kwa somo zuri,nazani hapa tumejifunza kitu muhimu!
 
Poleni makamanda mmekudisha costa kumi kutoka Arusha na Kilimanjaro mpaka Dar, kesi imepigwa tarehe mtarudi au mtasubiri mpaka tarehe 14.

Mkuu kwenye mambo serious jaribu kujiheshimu
 
Kesi imeahirishwa.Mahakama imekubali kuna kosoro kwa upande wa mahakama

Baada ya siku 14 marekebisho yatafanyika halafu kesi itarudi tena mahakamani

....watarudi tena kuja kutuambia sasa wamerekebisha kasoro, halafu wataahirisha na kupanga siku ya kuanza kusikiliza mwakani Mungu akipenda! Hawa jamaa ni kama vile wanachezea mood zetu.
 
Poleni makamanda mmekodisha costa kumi kutoka Arusha na Kilimanjaro mpaka Dar, kesi imepigwa tarehe mtarudi au mtasubiri mpaka tarehe 14.

"Non of your business"umechangia nauli ya kukodi hayo magari? Kupata haki ni gharama kubwa zaidi
ya kukodi magari,hata ingeahirishwa mara 1000 watu bado watakodi magari na kuja mahakamani mpaka
kieleweke"!!!!!!!
 
Back
Top Bottom