RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Ndugu! Kiufupi tu ni kwamba naelewa ninachoongea Luteni Jeneral wanne walishakuwepo kwa pamoja, usinibishie hata kidogo. Na Meela akiwa ni mmoja wapo. Wakati Meela anakabidhiwa kuwa kuwa Force Kamanda kuchukua nafasi iliyoachwa na Luteni Jenerali Nyamvumba wa Rwanda alikuwa Luteni Jenerali hiyo ni 2013, Mbali na Yeye akamuachia Luteni Jenerali Kisamba..
View attachment 1447281

Sent using Jamii Forums mobile app
comrade 01
Screenshot_20200511-200616.jpg
Screenshot_20200511-195947.jpg


Sent using
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
IGP sio cheo ni madaraka, ni sawa na kusema Commissioner General of Prison (CGP) Je ni cheo hicho au madaraka?
Narudia tena,
IGP (Inspector General of Police),
CGF (Commissioner General of Fire and Rescue),
CGI (Commissioner General of Immigration), hivyo vyote sio vyeo ni madaraka na vyeo vyao ni Commissioners isipokuwa CGP (Commissioner General of Prison) peke yake cheo chake ni Brigadier General.
Nipo nakungoja hapa....
Ni bora kujifunza mengi kuliko kujua kila kitu, kuanzia sasa tambua IGP ni cheo, pia tambua hata uwe na madaraka gani vyeo begani vinabaki vilevile, yale mazaga ya begani si kwa sababu ya madaraka bali vyeo.
Jifunze kwa picha hapo chini, hiyo ya kwanza cheo cha IGP na hiyo ya pili ni CP, sasa je unaona wanalingana hao? Haya sema Sasa si ulikuwa unaningoja!
images-64.jpg
images-65.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hujamtaja RPC hapo au sielewi mkuu???[emoji15][emoji15][emoji15]


Kwani RPC ni cheo mkuu?
Ninavyo fahamu RPC ni majukumu tu huyo jamaa cheo chake ni ACP nadhani.
 
Sir major ni afisa mteule huyo

Luteni yusu au ( half lieutenant) ni nyota moja

Luteni kamili ana nyota mbili
Asante sana kamanda kwa elimu sasa hii Luteni Usu inaingia wapi hapo au kitu ksma Sir Major au ni maneno ya mitaani ?
 
Sio jeshi? wajifunze kiswahili

Kuna

Jeshi la Wananchi Tz
Jeshi la Polisi
Jeshi la Kujenga Taifa
Jeshi la Magereza

Mkuu JKT IPO ndani ya JWTZ haijitegemei kwanza nikusahihishe hapo. So usiiweke pamoja na hayo majeshi yanayojitegemea.


Pili ni kweli jamaa yupo sahihi polisi,magereza tunaita tu jeshi lakini si majeshi kamili.
JWTZ ni military lakini polisi kwausahihi wao si military bali "paramilitary "

Polisi ni taasisi ya kiraia na wao ni raia.
 
Cheo kijeshi, kinaendana na madaraka kijana! Wewe unadhani anaweza kuwepo CDF ambaye cheo chake ni Kanali wakati huo huo Luteni Generali yupo, na major generali yupo??
Haiwezekani itakuwa haimake sense however inawezekana Rais kumteua major general kuwa cdf na kumuacha luteni general sema atakapoteuliwa nadhani na cheo atapandishwa kuwa general.
 
Mkuu kuna watu wanajifanya wanajua humu anachukua vifungu vya katiba anatafsiri anavyotaka.

Tunamwambia police sio military ni paramilitary haelewi.
Polisi sio jeshi (kamili) .Tuna jeshi Moja tu JWTZ
Kwa kuongeza ndio mana polisi hawana vifaru wala silaha nzito nzito hata kupindua nchi hawawezi
 
Watu Wasiojua Mngekaa Kimya Tu, Jeshi Yaani ACP Alingane Na Brigade General
Hakuna Hata Utaratibu Huo


ACP Hata Huwezi Kulinganisha Na Warrant Officer Class One
Hapana hapa nadhani hauko sahihi. Warrant Officer Class one, hana nyota, na ni cheo cha juu ngazi moja kutoka kwa Staff Sergeant. ACP ana madude yaliyo juu ya nyota tatu nadhani, vyeo vya polisi sivijui vizuri. Hivyo kicheo huwezi kumlinganisha ACP na RSM(Warrant Officer Class one); LAKINI:
RSM kiutawala ndani ya Kikosi, ni mkuu wa nidhamu kikosi kizima, na kwa hiyo huwa ana mamlaka ya karibu kabisa na Commanding Officer wa kikosi (yaani anawafuatia 2ic , CI na adjutant, kama sikosei). RSM kwenye kikosi akicharuka anaamuru fatiki halafu askari wote kikosini kuanzia nyota tatu (Captain na kurudi chini, ukiondoa adjutant ambaye anaye pia huwa ana nyota tatu) na kurudi chini, wanasomba matofali, hadi ma OC wa kombania ambao nao pia wana nyota tatu.
Kicheo ACP ni mkubwa kwa Warrant Officer Class one, ila kiutawala RSM ni mkubwa sana, na anateuliwa na Rais, na anakuwepo mmoja tu katika kila kikosi. Zaidi ni kuwa RSM akikutana na ACP, lazima atashusha saluti kwa ACP, ila yeye pamoja na kuwa na mamlaka makubwa kiutawala, huwa hapigiwi saluti kwa sababu hana nyota
 
Back
Top Bottom