black hawk87
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 678
- 1,247
Hawajui kitu kabisa hao we unadhani hao madoni kule mjengoni hawakitak hiko cheohuyu bwana mdogo Careem anajifanya mjuaji wakat hana anachokijua....Anadhani unaweza kuwa FIELD MARSHAL kama kupata hivi vyeo vingine vya kawaida....Wengi hawajui hata sifa ya kuwa FIELD MARSHAL ni ip na hawajiuliz kwann Karne ya sasa hakuna MaFIELD MARSHAL kama ni cheo kama cheo kingine...hawa mujibu wa sheria ni wasumbufu sana
Swala linakuja la vigezo tu
kilicho akilini kitumie