RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Mkuu tofautisha vyeo, kijeshi General ni cheo na madaraka yake ni CDF, Iko tofauti kwenye polisi, IGP ni madaraka na cheo chake ni Commissioner.
Narudia tena General ni cheo na hapo kuna cheo kingine juu yake yaani Field Marshal
Mfano leo hii kama Mabeyo akiondolewa madaraka yake ya CDF basi atabaki na cheo chake cha Jenerali. Lakini Sirro akiondolewa madaraka yake ya IGP atabaki kuwa Kamishna.

"رمضان كريم وصوم مقبول"
Mkuu umejitahidi sana kuliko wote humu, umekosea kidogo tu, ni kwamba Inspector Genaral of Police ni Cheo ndani ya Police Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IGP sio cheo ni madaraka, ni sawa na kusema Commissioner General of Prison (CGP) Je ni cheo hicho au madaraka?
Narudia tena,
IGP (Inspector General of Police),
CGF (Commissioner General of Fire and Rescue),
CGI (Commissioner General of Immigration), hivyo vyote sio vyeo ni madaraka na vyeo vyao ni Commissioners isipokuwa CGP (Commissioner General of Prison) peke yake cheo chake ni Brigadier General.
Nipo nakungoja hapa....
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.

HUwezi kulinganisha gazeted officer na commissioned offcer.
Unapotosha watu.
Uliowataja hapo juu Polisi ni gazeted officers kama NCOs jeshi la Wananchi.
 
IGP sio cheo ni madaraka, ni sawa na kusema Commissioner General of Prison (CGP) Je ni cheo hicho au madaraka?
Narudia tena,
IGP (Inspector General of Police),
CGF (Commissioner General of Fire and Rescue),
CGI (Commissioner General of Immigration), hivyo vyote sio vyeo ni madaraka na vyeo vyao ni Commissioners isipokuwa CGP (Commissioner General of Prison) peke yake cheo chake ni Brigadier General.
Nipo nakungoja hapa....
Umesema kweli, kwamfano Mangu sio IGP kwa sasa, kwa cheo yule ni Commissioner so as siro na baadhi ya wakuu wa idara kadhaa pale hq, ile IGP ni cheo
Ishatokea Tanzania kuwa na mageneral wawili, alikuapo aliekua cdf mwamunyange nadhan na mwingine ambaye alikua anaongoza jeshi la umoja wa mataifa Congo, alipandishwa rank na Rais (wa Tanzania) akiwa uko baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa muungano wa majeshi ya kulinda amani uko..

Haijawahi kutokea Tanzania kuwa na Majenerali wawili. Ilikuwa kipindi kabla Jenerali Mwamunyange kustaafu, Ma Luteni Generali ndio walikuwa wanne....
 
Sijui nyie mnaongea nn, kusema hiki ni cheo, niki ni madaraka.
Hizo ni ranks.... unavaa crowns sasa unaitaje ni madaraka ?
Ukiwa IGP, unastaaf au badilishiwa kazi lkn posho zako na benefits ni kama IGP na haiwezi kuwa sawa na CP au DCP mstaafu.
 
Hapana walikuwa wawili,mwingine ni mkuu wa chuo kikuu cha jeshi Monduli,(TMA)
 
Sijui nyie mnaongea nn, kusema hiki ni cheo, niki ni madaraka.
Hizo ni ranks.... unavaa crowns sasa unaitaje ni madaraka ?
Ukiwa IGP, unastaaf au badilishiwa kazi lkn posho zako na benefits ni kama IGP na haiwezi kuwa sawa na CP au DCP mstaafu.
hata mim nashangaa wanaposema IGP sio cheo
 
hivi mnaosema IGP sio cheo ila n madaraka mnakuwa mmekunywa kinywaji gani...
Madaraka ni kama unapomsikia mtu ni KAMANDA POLISI MKOA (RPC) maana anaweza kuwa na cheo kati ya ACP au SACP...
IGP ni cheo cha mwisho hata akistaafu atabaki kuitwa IGP mstaafu na hadhi yake ni ile ile tofauti na mtu anayestaafu akiwa CP au DCP
 
Kwa muundo wa Jeshi cheo cha mwisho ni GENERAL (4 star general)..
hiko cheo cha FIELD MARSHAL sio cheo rasmi kijeshi ila ni cheo walichokuwa wanajipatia Madikteta wengj ili kujitofautisha (IDD AMIN) na kwa historia duniani waliojiita MaFIELD MARSHAL hawafiki 15..AFRICA walikuwepo wawili au watatu,mmoja n IDD AMIN
 
Back
Top Bottom