RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Hapana walikuwa wawili,mwingine ni mkuu wa chuo kikuu cha jeshi Monduli,(TMA)
Mkuu wa TMA alikuwa ni Luteni Jenerali PP Masao hakuwahi kuwa Jenerali
Wengine ni:
2. Luteni Jenerali Ryoba
3. Luteni Jenerali PI Meela
4. Luteni Jenerali Makakala
Chief usipotoke hakuna chuo kikuu cha jeshi. TMA ni Tanzania Military Academy.

Na uteuzi wake kuwa CDF Jenerali Mabeyo alipandishwa cheo kutoka Luteni Jrnerali kuwa Jenerali na kupata uteuzi wa kuwa CDF.
Nakungoja...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muundo wa Jeshi cheo cha mwisho ni GENERAL (4 star general)..
hiko cheo cha FIELD MARSHAL sio cheo rasmi kijeshi ila ni cheo walichokuwa wanajipatia Madikteta wengj ili kujitofautisha (IDD AMIN) na kwa historia duniani waliojiita MaFIELD MARSHAL hawafiki 15..AFRICA walikuwepo wawili au watatu,mmoja n IDD AMIN
Hivi mbona unapingana na ukweli, moja kati ya sifa ya kuwa field marshall ni kuwa na Army, ili jeshi liwe army ni lazima liwe na askari wasiopungua 150,000 wewe unasema field marshall sio cheo rasmi nani kasema. US hadi leo hii wako na field marshall (5 star General) achana na hao kina Eid Amin waliokuwa wakijipa vyeo wenyewe, nenda India kulikuwa na field Marshall wawili, Sam Maneckshow na mwingine K M Carriapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wanakamataga raia na kuwatesa humo makambini mwao?
Kifupi ni kwamba wanajeshi wanajiona wapo juu ya sheria hata ikitokea amekosea basi anatetewa na wenzake asikamatwe.
kijeshi kama askari wakitoka kambini wakiwa 10 inatakiwa waludi 10 akikosekana mmoja wataulizwa mwenzenu yuko wapi ndio mana huwa inawabidi waanzishe mtiti ili waweze kuludi na mwenzao hapo inakua pona pona yao la sivyo cha moto watakiona
 
sasa usiandike cha kutengenezwa.au hujui mamlaka ya rais kwenye hivyo vyombo!!!

ana uwezo hata wa kuweka ma IGP wawili.
Hakuna kitu kama hicho.... hii sio mambo ya papai na fenesi, hivi vyombo vimeundwa kwa mujibu wa sheria...
Ndo maana kuna court Marshal...
 
Juzi nilikuta Jamaa wa magereza analalamika Private amempita bila Hata salute yani maeneo flani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba jamaa wa jeshi wanajiona wao ni special sana yani Mwana private kampita kama hamjui Mwana wa magereza ana V tatu begani...!!!

Kiufupu Jeshi litabaki kuwa Jeshi tu.

mhh jf nayo sometime[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
alikuwa anakulalamikia wewe!!!!!
 
Hakuna kitu kama hicho.... hii sio mambo ya papai na fenesi, hivi vyombo vimeundwa kwa mujibu wa sheria...
Ndo maana kuna court Marshal...
ndio muwaelewe wanaolalamikia madaraka ya rais kiwa makubwa.

ukisoma katiba ya jamhuri,inatamka wazi ni nani ana mamlaka ya kuanzisha jeshi,kama ana uwezo huo unadhani anashindwa kutamka cheo kipya tu???

NIGP alitokea baada ya jk kujiridhisha kwamba awepo kama msaidizi.ufanisi ukawa mdogo kutokana na haiba ya mhusika ambaye cheo kilimuangukia.
 
Mkuu wa TMA alikuwa ni Luteni Jenerali PP Masao hakuwahi kuwa Jenerali
Wengine ni:
2. Luteni Jenerali Mabeyo
3. Luteni Jenerali PI Meela
4. Luteni Jenerali Yakub Mohamed
Chief usipotoke hakuna chuo kikuu cha jeshi. TMA ni Tanzania Military Academy.

Na uteuzi wake kuwa CDF Jenerali Mabeyo alipandishwa cheo kutoka Luteni Jrnerali kuwa Jenerali na kupata uteuzi wa kuwa CDF.
Nakungoja...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujuaji mwingi wapi nimesema kilikuwa na Generals wawili?Nilikujibu kuwa hakuna Lt.Generals wanne Kwa pamoja,bali Kuna lt.Generals wawili,mmoja ni chief of staff na mwingine ni mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli(TMA).

Kwa mara ya Kwanza Kwa JWTZ kuwa na luteni jenerali wawili.Tena ni kipindi hichi cha CDF Jenerali Mabeyo.Na yeye alikuwa meja jenerali ndio akateuliwa kuwa CDF na kupandishwa cheo cha ujenerali.

Maj Gen balozi Paul Ignas Mela,ni lini katanganzwa kuwa luteni jenerali?
 
Mwakibolwa.... yule alikua luten General
Umesema kweli, kwamfano Mangu sio IGP kwa sasa, kwa cheo yule ni Commissioner so as siro na baadhi ya wakuu wa idara kadhaa pale hq, ile IGP ni cheo
Ishatokea Tanzania kuwa na mageneral wawili, alikuapo aliekua cdf mwamunyange nadhan na mwingine ambaye alikua anaongoza jeshi la umoja wa mataifa Congo, alipandishwa rank na Rais (wa Tanzania) akiwa uko baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa muungano wa majeshi ya kulinda amani uko..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijawahi kutokea Tanzania kuwa na Majenerali wawili. Ilikuwa kipindi kabla Jenerali Mwamunyange kustaafu, Ma Luteni Generali ndio walikuwa wanne....
Soma hapo[emoji115][emoji116]Kama umeongelea Majenerali haikuwhi kutokea kuwa wawili na kama unaongelea Lutwni Jenetali basi ni zaidi ya wawili. Na Najua kweli....
Hapana walikuwa wawili,mwingine ni mkuu wa chuo kikuu cha jeshi Monduli,(TMA)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuaji mwingi wapi nimesema kilikuwa na Generals wawili?Nilikujibu kuwa hakuna Lt.Generals wanne Kwa pamoja,bali Kuna lt.Generals wawili,mmoja ni chief of staff na mwingine ni mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli(TMA).

Kwa mara ya Kwanza Kwa JWTZ kuwa na luteni jenerali wawili.Tena ni kipindi hichi cha CDF Jenerali Mabeyo.Na yeye alikuwa meja jenerali ndio akateuliwa kuwa CDF na kupandishwa cheo cha ujenerali.

Maj Gen balozi Paul Ignas Mela,ni lini katanganzwa kuwa luteni jenerali?
Kumbe huna update na hujui kitu, wakati Luteni Jenerali Nyamvumba wa Rwanda anakabidhi Madaraka ya Force Kamanda kwa Meela kama sikosei mwaka 2013 Meela tayari alikuwa ni Luteni Jenerali. Chukua hiyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuaji mwingi wapi nimesema kilikuwa na Generals wawili?Nilikujibu kuwa hakuna Lt.Generals wanne Kwa pamoja,bali Kuna lt.Generals wawili,mmoja ni chief of staff na mwingine ni mkuu wa chuo cha kijeshi Monduli(TMA).

Kwa mara ya Kwanza Kwa JWTZ kuwa na luteni jenerali wawili.Tena ni kipindi hichi cha CDF Jenerali Mabeyo.Na yeye alikuwa meja jenerali ndio akateuliwa kuwa CDF na kupandishwa cheo cha ujenerali.

Maj Gen balozi Paul Ignas Mela,ni lini katanganzwa kuwa luteni jenerali?
Ndugu! Kiufupi tu ni kwamba naelewa ninachoongea Luteni Jeneral wanne walishakuwepo kwa pamoja, usinibishie hata kidogo. Na Meela akiwa ni mmoja wapo. Wakati Meela anakabidhiwa kuwa kuwa Force Kamanda kuchukua nafasi iliyoachwa na Luteni Jenerali Nyamvumba wa Rwanda alikuwa Luteni Jenerali hiyo ni 2013, Mbali na Yeye akamuachia Luteni Jenerali Kisamba..
Screenshot_20200511-200616.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom