RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Ndio afande.
Sisi tuliohitimu JKT (service men) hapo tunaagukia kundi gani?
Walahi ikizuka vita nitapambania niwe coy moja na huyo RPC nimrushe kunyakua hadi lile tumbo lishuke
 
Tuviangalie hapa vyeo vyao na tuwangalinishe...lakini jeshi ni jeshi rank zao hutumika pande zote.
 
Attachments

  • tapatalk_1567868018646.jpeg
    tapatalk_1567868018646.jpeg
    40.6 KB · Views: 59
  • tapatalk_1567868015453.jpeg
    tapatalk_1567868015453.jpeg
    28.7 KB · Views: 56
  • tapatalk_1567868012985.jpeg
    tapatalk_1567868012985.jpeg
    22 KB · Views: 48
  • WhatsApp-Image-2016-10-23-at-2.12.49-PM-1.jpeg
    WhatsApp-Image-2016-10-23-at-2.12.49-PM-1.jpeg
    87.1 KB · Views: 56
  • WhatsApp-Image-2016-10-23-at-2.12.49-PM.jpeg
    WhatsApp-Image-2016-10-23-at-2.12.49-PM.jpeg
    63.6 KB · Views: 53
Ok,hapo katika kumvua ni raia hao hao waliomkamata ama vyombo vya dola vimkamate
Ikiwa amefanya tukio ambalo linaendana kinyume na maadili ya kazi kama wizi, kubaka, au aina yyte ya kuvunja sheria na raia hamjui kama ni mjeshi atakamatwa tu na raia ,kama raia wanamjua kuwa ni mchuichui na amevunja sheria atakamatwa na vyombo vya dola hasa polisi.
 
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Kwa hiyo jwtz wao sio RAIA ni wanyama?
 
Usiwe mwongo wewe! Canal na Brigedia General ni ranks za wakurugenzi tu katika Idara za Wizara mbalimbali. Major General yeye aweza kuwa katibu mkuu au mkurugenzi wa Idara. Infact, ACP naweza sema ni kama Kanali, SACP ni kama Brig. Gen, wakati CP ni kama Major Gen, Deputy IGP ni kama Lt Gen, na IGP ni kama Generali. Huu ni ulinganifu wa vyeo, sio majukumu, kila mmoja ana majukumu yake kwenye kada yake! Huwezi chagua capten akawe mkuu wa jeshi la polisi Tz wakati cheo chake ni sawa na SSP! Itakuwa ajabu sana.
Kwakuwa Umesema Ni Kama
Basi Wewe Mwenyewe Baki Na Uelewako Huo Huo Ingawa Utaratibu Haupo Hivyo
 
Yuko sahihi Assistant Commissioner ni sawa na Canal kwa TPDF rank ya juu yake kwa TPDF ni Brigadea General na Senior Assistant Commissioner kwa wizara ya mambo ya ndani, sijui kuhusu salary scale over.
Mbona hujamtaja RPC hapo au sielewi mkuu???[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Aisee vyeo vya Kijeshi pamoja na kufundishwa Jeshini nilishindwa kabisa kuvikariri...[emoji23][emoji23]
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
Kha! Wewe ndio mbumbu katika wote mkuu, hujui kitu. Ukweli ni huu.Hyuy ndio yuko sahii.
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
 
Kha! Wewe ndio mbumbu katika wote mkuu, hujui kitu. Ukweli ni huu.Hyuy ndio yuko sahii.
Mujibu wa sheria unajua nini ww kaa pembeni uko. Tangu lini ukaona nyota tatu wa polisi anampigia saluti nyota moja wa jwtz?
 
Yuko sahihi Assistant Commissioner ni sawa na Canal kwa TPDF rank ya juu yake kwa TPDF ni Brigadea General na Senior Assistant Commissioner kwa wizara ya mambo ya ndani, sijui kuhusu salary scale over.
Hujui chochote acha kupotosha watu mkuu kitu kama hujui bora kuuliza kuliko kujifanya wajua.
 
Vyeo vya Polisi
1.Constable =Plain uniform (Hana nembo yyte)
2.Coplo =V 1
3.Sajent =V 2
4.Sajent staff =V 2+ ngao
5.inspector msaidizi =Nyota 1
5.Inspector =Nyota 2
6.Sajent Meja =Ngao 1
7.S.A.C.P (kamishina msaidizi mwandamizi)=Nyota 2+ngao 1+nembo ya Taifa.
8.A.C.P(kamishina msaidizi)=kamishina msaidizi =nyota 1+nembo ya Taifa
9.S.S.P(Mkaribu mwandamizi)=Nyota 1+ngao moja.
10.A.S.P(mkaribu msaidizi)=nyota 3.
11.S.P(mkaribu )=ngao+nembo ya Taifa
12.D.C.P(Naibu kamishina)=Mkasi + nyota
13.C.P(kamishina)=Mkasi na nembo ya Taifa
14.I.G.P=Mkasi +ngao +nembo ya Taifa

JWTZ
1.Private =Plain uniform
2.koplo mdogo =V1
3.koplo =v2
4.Sajent =V 3
5.Sajent mtumish=V 2+nembo ya Taifa
6.maafisa wateule II=nembo ya taifa
7.maafisa wateule I=alama ya taifa+ngao
8.Luten I= Nyota 1
9.Luten II= Nyota 2
10.captain =Nyota 3
11.Meja = alama ya Taifa
12.Luten canal = Nyota na alama ya Taifa
13.kanali =Nyota 2 na alama ya Taifa
14.Brigedia general =nyota tatu,ana nyota moja pamoja nembo ya taifa na mkasi!
16.Meja general = ana nyota mbili na nembo ya taifa pamoja na mkasi
17.Luten general =nyota tatu nembo na mkasi
18.General =mkasi+nyota 5 +nembo ya Taifa.
 
RPC ni cheo cha uongozi/ madaraka.
Mkuu wa polisi mkoa anaweza kuwa ASP,ACP au SACP
Aaha hapo sawa...[emoji23][emoji23] sema Ufananishe jeshi na polisi kicheo tu lakini Kwenye shughuli JW ni habari nyingine
 
Mkuu hivi vyeo vya JW ulivoviweka ni vya kitambo sana havipo kwa sasa! Utaratibu uliopo ni

Brigedia General hana nyota tatu,ana nyota moja pamoja nembo ya taifa na mkasi!

Hakuna cheo cha Brigedia ila Brigedia General baada ya hapo ni Meja General.

Meja General ana nyota mbili na nembo ya taifa pamoja na mkasi.

Luteni General na nyota tatu nembo ya taifa na mkasi

General ni nyota nne, nembo ya taifa na mkasi
 
Huyo mzee anabwabwaja tu kwa sababu ya madaraka lakini kwa cheo haoni ndani hata kwa mwenye nyota moja wa Jwtz. Wakati yeye ni Assistant comissioner wa police .wenye nyota moja wa jwtz ni Comissioned officer [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Vyeo vya Polisi
1.Constable =Plain uniform (Hana nembo yyte)
2.Coplo =V 1
3.Sajent =V 2
4.Sajent staff =V 2+ ngao
5.inspector msaidizi =Nyota 1
5.Inspector =Nyota 2
6.Sajent Meja =Ngao 1
7.S.A.C.P (kamishina msaidizi mwandamizi)=Nyota 2+ngao 1+nembo ya Taifa.
8.A.C.P(kamishina msaidizi)=kamishina msaidizi =nyota 1+nembo ya Taifa
9.S.S.P(Mkaribu mwandamizi)=Nyota 1+ngao moja.
10.A.S.P(mkaribu msaidizi)=nyota 3.
11.S.P(mkaribu )=ngao+nembo ya Taifa
12.D.C.P(Naibu kamishina)=Mkuki + nyota
13.C.P(kamishina)=Mkuki na nembo ya Taifa
14.I.G.P=mkuki+ngao +nembo ya Taifa

JWTZ
1.Private =Plain uniform
2.koplo mdogo =V1
3.koplo =v2
4.Sajent =V 3
5.Sajent mtumish=V 2+nembo ya Taifa
6.maafisa wateule II=nembo ya taifa
7.maafisa wateule I=alama ya taifa+ngao
8.Luten I= Nyota 1
9.Luten II= Nyota 2
10.captain =Nyota 3
11.Meja = alama ya Taifa
12.Luten canal = Nyota na alama ya Taifa
13.kanali =Nyota 2 na alama ya Taifa
14.Brigedia general =nyota 3 na nembo ya Taifa
15.Brigedia =Nyota 3 ,nembo ya Taifa na ngao
16.Meja general = Mkuki + nembo ya Taifa
17.Luten general = Mkuki na nyota + nembo ya Taifa
18.General =mkuki +nyota mbili +nembo ya Taifa.
Asante sana kamanda kwa elimu sasa hii Luteni Usu inaingia wapi hapo au kitu ksma Sir Major au ni maneno ya mitaani?
 
Back
Top Bottom