RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Vyeo vya Polisi
1.Constable =Plain uniform (Hana nembo yyte)
2.Coplo =V 1
3.Sajent =V 2
4.Sajent staff =V 2+ ngao
5.inspector msaidizi =Nyota 1
5.Inspector =Nyota 2
6.Sajent Meja =Ngao 1
7.S.A.C.P (kamishina msaidizi mwandamizi)=Nyota 2+ngao 1+nembo ya Taifa.
8.A.C.P(kamishina msaidizi)=kamishina msaidizi =nyota 1+nembo ya Taifa
9.S.S.P(Mkaribu mwandamizi)=Nyota 1+ngao moja.
10.A.S.P(mkaribu msaidizi)=nyota 3.
11.S.P(mkaribu )=ngao+nembo ya Taifa
12.D.C.P(Naibu kamishina)=Mkasi + nyota
13.C.P(kamishina)=Mkasi na nembo ya Taifa
14.I.G.P=Mkasi +ngao +nembo ya Taifa

JWTZ
1.Private =Plain uniform
2.koplo mdogo =V1
3.koplo =v2
4.Sajent =V 3
5.Sajent mtumish=V 2+nembo ya Taifa
6.maafisa wateule II=nembo ya taifa
7.maafisa wateule I=alama ya taifa+ngao
8.Luten I= Nyota 1
9.Luten II= Nyota 2
10.captain =Nyota 3
11.Meja = alama ya Taifa
12.Luten canal = Nyota na alama ya Taifa
13.kanali =Nyota 2 na alama ya Taifa
14.Brigedia general =nyota tatu,ana nyota moja pamoja nembo ya taifa na mkasi!
16.Meja general = ana nyota mbili na nembo ya taifa pamoja na mkasi
17.Luten general =nyota tatu nembo na mkasi
18.General =mkasi+nyota 5 +nembo ya Taifa.
Labda huo upande wa kwanza ulipoaanzia sijui huenda ukawa umepatia but upande wa pili kwa ufupi tu hujui kitu niishie hapo.
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
ninavyojua mimi senior...ni jeshi la polisi...kwa maana ndio jeshi la kwanza kuanzishwa
 
Vyeo vya Polisi
1.Constable =Plain uniform (Hana nembo yyte)
2.Coplo =V 1
3.Sajent =V 2
4.Sajent staff =V 2+ ngao
5.inspector msaidizi =Nyota 1
5.Inspector =Nyota 2
6.Sajent Meja =Ngao 1
7.S.A.C.P (kamishina msaidizi mwandamizi)=Nyota 2+ngao 1+nembo ya Taifa.
8.A.C.P(kamishina msaidizi)=kamishina msaidizi =nyota 1+nembo ya Taifa
9.S.S.P(Mkaribu mwandamizi)=Nyota 1+ngao moja.
10.A.S.P(mkaribu msaidizi)=nyota 3.
11.S.P(mkaribu )=ngao+nembo ya Taifa
12.D.C.P(Naibu kamishina)=Mkasi + nyota
13.C.P(kamishina)=Mkasi na nembo ya Taifa
14.I.G.P=Mkasi +ngao +nembo ya Taifa

JWTZ
1.Private =Plain uniform
2.koplo mdogo =V1
3.koplo =v2
4.Sajent =V 3
5.Sajent mtumish=V 2+nembo ya Taifa
6.maafisa wateule II=nembo ya taifa
7.maafisa wateule I=alama ya taifa+ngao
8.Luten I= Nyota 1
9.Luten II= Nyota 2
10.captain =Nyota 3
11.Meja = alama ya Taifa
12.Luten canal = Nyota na alama ya Taifa
13.kanali =Nyota 2 na alama ya Taifa
14.Brigedia general =nyota tatu,ana nyota moja pamoja nembo ya taifa na mkasi!
16.Meja general = ana nyota mbili na nembo ya taifa pamoja na mkasi
17.Luten general =nyota tatu nembo na mkasi
18.General =mkasi+nyota 5 +nembo ya Taifa.
Mkuu Kuna makosa kidogo mwanzoni mwa comment yako.
Kwa polisi huwa hakuna cheo Cha V1,huwa wanaanzia na V2 ambayo ni koplo.
Ahsante.
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
Umemaliza kila kitu!!Hongera Mkaguzi mwenzangu
 
Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Kwa mujib wa katiba jeshi ni moja tu... La JWTZ polisi sio jeshi
 
Haaaaaa.Haya maaskari sijui yakoje sijui yanawaza nini. Leo mlinzi was getini nawapa Elimu nyie mabregedia masacp na macopolo .Kwanza kaa kimya soma kwa makini sana.Majeshi yote ni Idara ndani ya Wizara zake Hivyo msijione bora sana bosi was mkuu wa majeshi ni katibu mkuu wa Wizara na Bosi wa IGP ni katibu Mkuu tu baada ya hapo Waziri halafu Rais sasa msijone miungu watu hapa nyie sawa tu wafanyakzi wengine wa umma acheni mbwembwe. Sasa nawafafanulia kuhusu vyeo vyenu ni kwamba kazi za mwenye nyota moja Jeshi la Wananchi ni sawa tu na Jeshi la Polisi tofauti ni utendaji tu anzieni kwenye paredi ni nani anakagua wachafu na wasafi ni nani anawakagua malindoni ni nani anaongoza platoon ni nani anaongoza mkoa kanda mpaka nchi utagundua alama zao kwenye mabega zinafanana. Twendeni kwenye Ushaidi sasa. Nini maana ya Jeshi,Mwanajeshi,kazi za vyeo vyao
Ibara ya 151:ya katiba ya Tz
Jeshi" maana yake ni lolote kati ya majeshi ya ulinzi na ni
pamoja na jeshi lolote jingine lililoundwa na Katiba hii au
kwa mujibu wa sheria na linalotawaliwa kwa amri ya51.-(1) Katika Katiba hii, ila iwapo maelezo yahitaji
vinginevyo:
"amri ya Jeshi" maana yake ni sheria au amri
iliyotolewa kwa mujibu wa sheria, ya kusimamia nidhamu katika
jeshi;

"askari" likitumika kuhusiana na jeshi lolote, maana yake ni
pamoja na askari yeyote ambaye kwa mujibu wa amri ya
jeshi hilo ni mtu anayewajibika kinidhamu;

Ibara ya 147 maana ya Mwanajeshi.
147(3) Itakuwa ni marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na
chama chohote cha siasa, isipokuwa tu kama atakuwa na haki
ya kupiga kura iliyotajwa katika ibara ya 5 ya Katiba hii.
(4) Kwa madhumuni ya ibara hii, "mwanajeshi" maana yake
ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au ya kudumu
katika Jeshi la Ulinzi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza au Jeshi
la Kujenga Taifa.

Twende kwenye majukumu
Sheria ya kanuni ya Adhabu

Kutoa tamko kwa
wafanya ghasia
kutawanyika
Sura ya 500 kif.
7; Sura 356 kif
11 (13) kifungu cha
77cha kanuni ya Adhabu kinasema Hakimu yeyote au, kama hayupo, afisa wa polisi wa au aliye juu ya
cheo cha mkaguzi(nyota moja na kuendele) au akida wa jeshi(Nyota moja na kuendelea/commissioned officer)la vita la Jamhuri ya Muungano,
atakayeona watu kumi na mbili au zaidi wamekusanyika kwa ajili ya
ghasia ana wasiwasi kuwa ghasia inataka kufanywa na watu kumi na mbili
au zaidi, au anaweza kutoa au kutolesha ilani kwa jina la Rais, kwa namna
atakayoona yafaa, kuwaamrisha wafanyaji ghasia hao au watu
waliokusanyika watawanyike kwa aman.
Mabano hayo nimeweka kwa ajili ya ufafanuzi tu kuonesha ulinganifu katika
Twendeni kwenye Uhalisia sasa
He unamkumbuka aliyekuwa kiongozi wa Operesheni tokomeza enzi za jk basi ni Simon Siro akiwa SACP wa Polisi aliongozi vikosi vya Jeshi la Polisi,Jeshi la Wananchi pamoja na Tanapa ndani ya vile vukokosi kulikuwa na majors wa kutosha na Makanali wote walpokea maelekezo kutoka kwake vipi apo mbona Hugo bado hakuwa kamishina kamili.Msichanganye mambo waungwana kamishina wa Polisi ni kamishina wa Polisi anaongoza commission Fulani kama vile fedha,utawala,mafunzo ,forensic na kadhalika sasa huku Jeshi la Wananchi commissioned Officer wanyota moja au mbili anaongoza commission gani? Mimi ninachojua anaongoza platoon tatu yaani company wakati kamishina msaidizi wa polisi anaongoza mkoa wenye watu askari pamoja na idara zote na ndiyo muongeaji hasa kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa kama alivyolinda Heshima ya Jwtz pale Arusha kwa kuwajibu waandishi wa habari.Narudia tena kuwa kamishina ndani ya Polisi ni cheo cha mwisho kabisa maana kinachofuata ni hisani ya Rais sasa wewe na kanyota chako ukajifananishe na Mambosasa aliyepewa V8 na walinzi Nyumba Kali eneo sawa na Mawaziri na makatibu wakuu wakati wewe umeja wako unatembelea defender mbovu na unalala nyumba Dirisha kama LA choo tens chafu hasa. Acheni kulishwa ujinga askari na mnakaririshwa kasumba dharau mwishowe mnaanza kupigana. Ebu fikiri kwa kina unafikiri Mkuu wa wilaya ya Arumeru anaweza kumuamrisha Shana ? Maana Shana ni Dcp bado kuwa kamishina kamili .na mkuu wa wilaya ni kamishina? Fikiri kwa kina sana acha kudanganywa na macoplol sugu yanakuambia yalikwenda vitani Uganda wakati walioenda vitani wote wameshastafu maana aliyeingia na miaka 18 kastafu mwaka Jana.. Pia mkumbuke kila taaluma inaumuhimu katika jamii .

Nyongeza ya mawazo tu
Wote Nazi yetu kuu kutulinda sisi Wananchi na Mali zetu yanini mnaleta ligi na kufedheheshana kwa kujiona imara zaidi kiliko wengine.Nyie ni walinzi tu Nazi yenu kuu ni ulinzi .Amka kifikra askari acha ubabe wakishamba tafuta pesa uache kufungulia mageti wenzako.
Mkuu umemaliza mada.
Yaani mambo yote niliyokuwa nayafikiria umeyamaliza hapa.
Siku hizi dili ni kutafuta pesa.
Masuala ya kutunishiana kwa vyeo yamepitwa na wakati.
 
Tafsiri ya Jeshi na majukumu yake Dunia nzima havitofautiani. Na neno linalotumika kuwatambua ni moja tu! Nalo ni Jeshi.

Kwa Tanzania Polisi kuitwa Jeshi ni neno lililozoeleka na linalotumika mara kwa mara kwenye mazungumzo na kusikika masikioni mwa watu kwa njia ambayo linaonekana limetumika pahala sahihi lakini maana yake ni tofauti kabisa na lilivyozoeleka kutumika.

Wanaolinda mipaka au ardhi ya nchi/Dola kwa kutumia nguvu ya silaha dhidi ya wavamizi wa nje hiki kikundi cha jumla ya watu kinaitwa Jeshi. Dunia nzima ndivyo kinatambulika hivyo.

Kikundi cha jumla ya watu waliyopewa mamlaka ya ndani ya Dola/nchi kulinda usalama wa raia na mali zake hiki kikundi kinajulikana ni Polisi.

Polisi ni Polisi na Jeshi ni Jeshi.
Umekariri
 
Huu ulioandika ni uongo mtupu, hivi kuna koplo mwenye v1 au sajenti mwenye v2?? Acha uongo
Kuna koplo V 1, lansi koplo V 2, sajenti V3, staff sajent V 3 na nembo ya bibi na bwana.
 
Rpc amezidiwa cheo na brigedia General , kuanzia kanali kuludi chini akuna aliye mzidi cheo RPC, kwanini RPC kazidiwa cheo na brigedia ? Brigedia General yeye anaongoza eneo Kubwa, kuna brigedi nyingi nakutajia moja kuna brigedi ya kusini inajumuisha mikoa yote ya kusin mwa Tanzania ambayo brigedia General anaongoza, na RPC yeye anaongoza mkoa tu, na kanal yeye anaongoza kikosi (kambi ya jeshi) kwaiyo utakuwa umeshajua Rpc na kanal nani mkubwa
 
You are not right! Usidanganye umma
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
 
Tuviangalie hapa vyeo vyao na tuwangalinishe...lakini jeshi ni jeshi rank zao hutumika pande zote.
Uwe unaenda na wakati, vyeo vya kijeshi kuanzia brigadia vimebadilika.. Brigadia ana mkasi , nyota moja na ngao,

meja Jenerali ana nyota mbili mkasi na ngao

Luteni Jenerali ana mkasi, nyota tatu na ngao

Jenerali ana mkasi nyota nne na ngao
 
Mkuu na CP huwa anatawala eneo gani?au wale wanatawala kanda maalumu?
Huyo anatawala commission. Kama unavyosikia kamishina wa fedha,kamishina wa mafunzo kamishina wa utawala. Cp ndiyo cheo cha mwisho polisi baada ya hapo ni hisani ya Raisi tu nani ampe nafasi ya IGP .sasa Nyota moja ya jeshi la Wananchi anaitwa Commissioned officer jiulize anaongoza Commission gani? .Narudia tena fananisha hadhi anayopewa MAMBOSASA AU SHANA kama inapishana na Bregadia General .wrote wamepewa nyumba safi gari V8 walinzi na wanaongoza mikoa au kanda katika level za kijeshi.Fikirini tena.Na Leo nimebaini kitu kikubwa mno kuna uwezekano haya majeshi katika silabasi zao hawafundishwi juu ya majesji mengine hasa hawa ngazi ya mafunzo ya awali maana kwa upande wangu sijawahi ona maofisa wa polisi na jeshi kuanzia Nyota moja sijawahi kuona wakigombana au kufedheheshana ila hawa vumilia vumbi yaani coplo,Sargent,staff Sargent na constable/private. Yaani ni mijinga kweli halafu yamesahau yote yalikuwa kozi moja JKT .Mimi nafikiri matumizi ya Bhangi katika majeshi yetu has a askari wa vyeo vya chini yamekuwa makubwa sana.
 
Back
Top Bottom