Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,471
Sio jeshi? wajifunze kiswahiliKwanza polisi ni idara ya mambo ya ndani . sio jeshi. Hakuna ulinganifu. Polisi linganisha na magereza, uhamiaji na zimamoto. Hata wasabato na nyota!!!
Kuna
Jeshi la Wananchi Tz
Jeshi la Polisi
Jeshi la Kujenga Taifa
Jeshi la Magereza