RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

Kiitifaki ya kupigiwa saluti,Commisioned officer (CP) wa polisi ni sawa na commisioned officer (2lt wa nyota moja) wa Jwtz.

Chini ya Commisioned rank, vyeo hivyo huitwa other ranks.

Kwa hiyo kwa cheo chake cha ACP ukilinganisha na Jwtz ni cheo cha pili kurudi chini ya commisioned officer ambacho ni Warrant officer class2 na hata mishahara ukiichunguza inalingana.

Asijikweze, sababu hata vita vikizuka, akishikizwa jeshini, lazima atapewa mafunzo (refresher) wakufunzi wakiwa ni hao other ranks na atakasimiwa na kuvishwa vyeo vya other ranks na hilo halina ubishi ni kanuni.

Halafu tukija kwenye sheria za kijeshi (military defence act) hao civilian police ni idara za kiraia zinazofanya kazi zinazofanana na za kijeshi, wakiwemo magereza na zimamoto.
Hivyo Jwtz hawaruhusiwi kumkamata raia na kumuweka rumande za jeshi akiwemo yeye, kwa sababu anahesabika kuwa ni raia kwenye vitabu vya sheria za majeshi.
Umesomeka bablai
 
Haya majeshi yana Rank zake, jeshi namba moja ni TPDF. Hii "F" Ni force hayo majeshi mengine hayana hiyo kitu, ni majeshi ya shughuli za kiraia. Jielimishe dada. Maofisa wa jeshi wote wanavalishwa vyeo na Raisi.
Kwahiyo Tanzania hakuna POLICE FORCE?
Zile force namba ni zanini?
 
Huyu rpc c ndo yule aliyekuwa anasema ccm oyeeee???kama ndo mwenyewe mwambieni cheo chake hana tofauti na skauti
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.

🤝🤝🤝
 
Usiwe mwongo wewe! Canal na Brigedia General ni ranks za wakurugenzi tu katika Idara za Wizara mbalimbali. Major General yeye aweza kuwa katibu mkuu au mkurugenzi wa Idara. Infact, ACP naweza sema ni kama Kanali, SACP ni kama Brig. Gen, wakati CP ni kama Major Gen, Deputy IGP ni kama Lt Gen, na IGP ni kama Generali. Huu ni ulinganifu wa vyeo, sio majukumu, kila mmoja ana majukumu yake kwenye kada yake! Huwezi chagua capten akawe mkuu wa jeshi la polisi Tz wakati cheo chake ni sawa na ASP! Itakuwa ajabu sana.
Yani mkuu wa jeshi moja(polisi)unamlinganisha na mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ikiwemo(ikiwemo polisi)
 
Ivi mfano kwa mwanajeshi akifanya makosa si ruksa raia ama polisi kumkamata mwanajeshi hado waje wale Mp wa jeshi,je ni sawa
mwanajeshi wa jwtz ana makosa ya aina mbili.

ya kiraia~kuvunja sheria yoyote kama
raia mwingine,atashikwa na
polisi wa kituoni,na
atahukumiwa kwa mujibu wa
sheria.
ya kijeshi~kuvunja kanuni za jeshi(jwtz
atakamatwa na mp(polisijesh
i)na atahukumiwa ktk
mahakama za kijeshi.

NB,makosa yote ya kisheria,ni makosa ya kijeshi pia,hivyo basi,kabla mwanajeshi(jwtz)hajahukumiwa na mahakama za kiraia atakuwa amehukumiwa kijeshi tayari.
 
Yani mkuu wa jeshi moja(polisi)unamlinganisha na mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ikiwemo(ikiwemo polisi)

we nae acha kudanganya watu mkuu wa majeshi (Gen mabeyo) ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ikimaanishwa kamandi zote za JWTZ yaan navy, efantry,airforce, mizinga na JKT sio kama unavosema wewe kuwa ni mkuu wa majeshi yote hadi police, magereza na uhamiaji hawa wana wakuu wao acha kupotosha kama hujui jambo.
 
IGP( inspector general of police), CDF( chief of defence forces). Siro ni mkuu wa police Tanzania na mabeyo ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ndani ya Tanzania. Kiprotocal ACP( assistant commissioner ) hawezi kuwa sawa na colonel

acha uongo na wewe
 
Kwa hapa umetoa Elimu nzuri sana
mwanajeshi wa jwtz ana makosa ya aina mbili.

ya kiraia~kuvunja sheria yoyote kama
raia mwingine,atashikwa na
polisi wa kituoni,na
atahukumiwa kwa mujibu wa
sheria.
ya kijeshi~kuvunja kanuni za jeshi(jwtz
atakamatwa na mp(polisijesh
i)na atahukumiwa ktk
mahakama za kijeshi.

NB,makosa yote ya kisheria,ni makosa ya kijeshi pia,hivyo basi,kabla mwanajeshi(jwtz)hajahukumiwa na mahakama za kiraia atakuwa amehukumiwa kijeshi tayari.
 
JWTZ ____polisi
Lt usu = assistance inspector
LT. = inspector
Captain =ASP
MEJA =SP
LT. COLONEL =SSP
COLONEL =ACP
BRIGEDIA GENERAL. =SACAP
MEJA GENERAL. =DCP
LT GENERAL =CP
GENERAL. =IGP

Note: wakikutana afisa wa jwtz na afisa wa polisi wanao lingana vyeo, afisa wa polisi atampigia saluti afisa wa jwtz kwa sababu JWTZ ndio jeshi SNR. But wakikutana mmoja anamzidi mwingine cheo, protoco za kijeshi lazima zifuatwe mdogo kumsalimia mkubwa.
You are very right kaka
 
Back
Top Bottom