Rostam aibukia kanisani!

Twamshangaa Rostam, lakini makanisa yetu ni machafu

Johnson Mbwambo Julai 16, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo

Niliamini kwamba mahali pazuri ambako Mheshimiwa Rostam alistahili kujieleza (kujisafisha) kuhusu tuhuma hizo ni kwenye mkutano na vyombo vya habari (press conference).

.

Umeeleza mengi mazuri nakubaliana nayo , ila katika hili hapa juu sikubaliani na wewe .Haya ni mawazo MGANDO ya watanzania wengi wakiwemo wasomi eti , Rostam au wengine wanaotuhumiwa na ufisadi wajisafishe kwa kuita waandishi wa habari.

Nani kasema waandishi wa habari wanasafisha?? anaweza akachafuliwa zaidi basi!!! HIVI HII IDEA YA ETI AITE WAANDISHI WA HABARI KUJISAFISHA IMETOKA WAPI?. HAYA NI MAWAZO YA WATU WALIOKATA TAMAA HAWANA MBELE WALA NYUMA, NI MAWAZO YA WATU WANAOFIKIRI UFISADI SAWA NA UDAKU.HAIHITAJI MTU KUITA WAANDISHI WA HABARI ILI MAGAZETI YATUUZIE HABARI INAHITAJI.KINACHOHITAJIKA NI MAMLAKA ZINATOTAKIWA(AKIWEMO RAIS) KUKAMATA HUYU MTU NA UCHUNGUZI KUFANYIKA HARAKA.kWA SABABU RAIS WETU SANAMU NA KWA SABABU MAMLAKA ZINAZOTAKIWA KUWAJIBIKA HAZIFANYI HIVYO, THEN SOLUTION NI KUIONDOA CCM MADARAKANI IWE KWA KURA AU KWA NGUVU YA UMMA.

SIPENDI KUMSIKIA MTU ANASEMA WAJISAFISHE, HALAFU AKIISHA ITA WAANDISHI WA HABARI .........AKIONGEA .

Kalenge
Our deepest fear is not that we are inadequate. Our deepest fear is that we are powerful beyond measure.Marianne Williamson:
 
Enough na Mtikila it is over, tena arudishe hata zile hela alizopewa na Rostam kumchafua Sumaye, aibu tupu!

Huyu Rostam hawa viongozi iliyobaki watuachie sisi wananchi, maana hawamuwezi, kama kweli ulimsikia akiongea majuzi ni clear kuwa huyu ni mjanja sana kuliko wengi tunavyofikiri, amekuwa kimyaa kwa muda mrefu akiweka sawa mali zake, sasa amemaliza ndio ameanza kuongea na maneno mazito kuwa nendeni mahakamani, huku akimrushia mawe Mengi, Six, na kummaliza kabisa Mtikila,

Sasa hapa viongozi karibu wote waliowahi kuchukua hela zake wamelowa, nasikia toka majuzi wanahaha, na this time wamepatikana maana wale wote wenye mikono michafu ya kum-Balali, anawajua vizuri tena nje ndani maana walikolala ndiko alikoamkia, weekend hii nilipata bahati ya kuonana na waziri mama six, yaani hakuwa hata na sababu ya kujbu maswali yangu body language ilikuwa very clear kuwa huyu Rostam ataleta balaaa!

Mtikila akae pembeni, ingekuwa majuu hata kesi zote alizowahi kushinda zingetenguliwa mara moja na Supreme Court!
 
Kitu kimoja ambacho viongozi wengi wanaokumbatia vijisenti hawataweza kujifunza ni kuzikataa hizi peremende za vigabacholi kama RA na kundi lake ni lazima tuwasafishe wether they like it or not. Si unaona hata mkuu wa kaya amefyata mkia.

The day will come and we will be free again and take our United Republic.
 
Umeeleza mengi mazuri nakubaliana nayo , ila katika hili hapa juu sikubaliani na wewe .Haya ni mawazo MGANDO ya watanzania wengi wakiwemo wasomi eti , Rostam au wengine wanaotuhumiwa na ufisadi wajisafishe kwa kuita waandishi wa habari.

Nani kasema waandishi wa habari wanasafisha?? anaweza akachafuliwa zaidi basi!!! HIVI HII IDEA YA ETI AITE WAANDISHI WA HABARI KUJISAFISHA IMETOKA WAPI?. HAYA NI MAWAZO YA WATU WALIOKATA TAMAA HAWANA MBELE WALA NYUMA, NI MAWAZO YA WATU WANAOFIKIRI UFISADI SAWA NA UDAKU.HAIHITAJI MTU KUITA WAANDISHI WA HABARI ILI MAGAZETI YATUUZIE HABARI INAHITAJI.KINACHOHITAJIKA NI MAMLAKA ZINATOTAKIWA(AKIWEMO RAIS) KUKAMATA HUYU MTU NA UCHUNGUZI KUFANYIKA HARAKA.kWA SABABU RAIS WETU SANAMU NA KWA SABABU MAMLAKA ZINAZOTAKIWA KUWAJIBIKA HAZIFANYI HIVYO, THEN SOLUTION NI KUIONDOA CCM MADARAKANI IWE KWA KURA AU KWA NGUVU YA UMMA.

SIPENDI KUMSIKIA MTU ANASEMA WAJISAFISHE, HALAFU AKIISHA ITA WAANDISHI WA HABARI .........AKIONGEA .

Kalenge
Our deepest fear is not that we are inadequate. Our deepest fear is that we are powerful beyond measure.Marianne Williamson:

Kalenge,

Mind the caps.Mimi nafikiri kujisafisha hapa inatumika kama kuondoa hatia inayopewa jina lake, kuji absolve.In that case anachosema Mbwambo ni kuwa kama kweli Rostam hana hatia sehemu nzuri ya kuwaeleza wananchi ilikuwa press conference, instead ya kwenda makanisani huko anakoleta controversy juu ya controversy.

I support him in that and do not see where your objection is coming from.Unless you are talking about kujisafisha as in ku spin ukweli.Mbwambo kama muandishi inabidi aanze kwa eminent criticism, kwamba let's say, for the sake of argument, that Rostam is clean, he still was controversial to go to places of worship and plead his case, he should have convened a secular press conference.
 
Kitu kimoja ambacho viongozi wengi wanaokumbatia vijisenti hawataweza kujifunza ni kuzikataa hizi peremende za vigabacholi kama RA na kundi lake ni lazima tuwasafishe wether they like it or not. Si unaona hata mkuu wa kaya amefyata mkia.

The day will come and we will be free again and take our United Republic.

Kupokea kila unachorushiwa..is it self actualization baada ya kufikia mahala fulani au ulafi au njaa kali?
Ni wakati gani watu hawa watatosheka au wafanyiwe nini waridhike kuwa its enuf?
 
Nimefurahi Kidogo Bwn Mbwambo Kwa Kuchambua Udhaifu Wa Viongozi Wa Kkkt,
Lakini Pia Na Wewe Bwambo Kama Mwandishi Veteran Unajishushia Heshima Yako Kwa Kuandika Habari Za Kusikiasikia Tu
 
Huyu jamaa anejifanya kuchambua makala la Mbwambo atakuw ni Kiongozi wa KKKT tena mkubwa.Tunachotaka kumwambia ni kwamba amechelewa sana na kama anajua kuchambua "Qoute"za watu mbona kile kipengele kinachosema Lowasa alivyojiuzuru Uwaziri Mkuu alipokelewa na askofu Wa KKKT na akampongeza.atwambie hapo anasemaje?tumeshawastukia watu wa KKKKT hata makanisani watu wenye PESA wananafasi zao, Wao kkkt ndio wanaochanganya Dini na Siasa kwa kukubali kuwachongenisha "Kipaza sauti" na "RA."
 
MBWAMBO UPO JUU ASIKUDANGANYE MTU, KWANI NI VIGUMU KWA MUUMINI YOYOTE KULICHAMBUA KANISA LAKE , LAKINI LINAPOPOTEZA MWELEKEO MTU YOYOTE ANAYEONA MBALI HATA SITA SIO TU KULICHAMBUA BALI PIA KUPOTEZA IMANI YAKE NA KANISA LAKE.KWA KKKT TULISHAPOTEZA SIKU NYINGI, NDIO MAANA MLIMUONA HATA KIONGOZI WAO MKUBWA BADALA YA KUMPONGEZA rOSTAM KWA KURUDI KUNDINI AKAISHIA KUMLAUMU KWAMBA AKUFUATA UTARATIBU KWANI NINA UHAKIKA HIZO PESA ZINGEPITIA MAKAO MAKUU,WANAKWAYA WANGEPATA 500,000 TU
 
Ukitaka kumlaumu Mtikila jiweke kwenye mazingira kama yake na kisha angalia wewe ungefanya nini?

Kwanza Rostam ni rafiki yake, pia kakopa tena wakati huo kashfa za Rostam hazikuwa zinaeleweka waziwazi.Tatu, mkopo haukuwa na masharti yoyote.

Nne, hakuona urafiki kumshambulia Rostam alipoona anatumia kanisa kujisafisha. Akawa wa kwanza hata kutaka kwenda mahakamani ili mafisadi akiwemo Rostam waadhibiwe.

Namwamini Mtikila kuliko wanasiasa wetu wengi.

Mtanzania

Umetaka nikupe ushahidi kuwa unawatetea mafisadi? Nijibu swali moja tu, je unaendelea kumwamini fisadi mtikila kuwa ndio mwanasiasa bora kuliko wanasiasa wengi?

Asha
 
Narudia tena,nchi imeshikwa na shetani.Tusubiri,lakini tuko kwenye hatari kubwa.
 
Ni lile anaposali Spika Samwel Sitta... (KKKT Kinondoni).

Aichangia kwaya Tshs Milioni 7...

Amalizia na kuwaomba waumini kuiombea nchi kwani iko kwenye kipindi kibaya cha watu kutafutana uchawi na kuonesha hali si shwari nchini.

Zaidi tusubiri kutoka vyombo vya nyumbani kwani walikuwepo wengi. Wasipoandika tutaandika!

Hizo ni pesa za watanzania, arudishe tu kwa wenyewe, alikuja toka omani kwao hana kitu kazipatia humo humo kwenye Chukua Chako Mapema, tena KKKT mwambieni atoe na ahadi ili mchukue zaidi ni zetu hizo msiogope. tutamwita na usharika wetu wa sinza amalizie kanisa letu.
 
Mimi namuunga mkono RA pale aliposema kanisa liiombee nchi, lakini nashangaa kuona kasahau kuliomba kanisa hilo hilo kumuombea naye ili akiri mbele za Mungu kwa mabaya aliyowafanyia watanzania!
 
ROSTAM huyu nnae mfahamu? anaendelea kuingia makanisani? si kafiri huyu? hizi dini nazo zenye njaa ya pesa zinatutia aibu.....hivi ni kweli lakini? aibuuuuuu.........jamani tuhuma za rostam lowasa ziko wazi kuwa ni wezi na hawajajisafisha afu tunaendelea kuwapigia magoti? why? ningelifurahi sana iwapo ningesikia kuwa kaenda kubatizwa na kuachana na uovu.............kaenda kuuza sura huyu mwarabu/msukuma?
najisikia kichefuchefu.....
 
Hawa wachungaji nao ni mafisadi!! sindio hawa wanaojifanya wakemea ufisadi kila siku? Haya makanisa sasa yanatia aibu! nani sasa awatetee watanzania?

Huyu jamaa mbona atoi pesa Misikitini? au maimam wako smart hawachukui pesa za kifisadi? Yesu na maria naishiwa nguvu!!
 
kanisa likatae hela...lol.. wanapokea wanageukia upandewa pili wanaziombea zinakuwa safi zimeshakuwa za mungu..LOL.. Money laundering at its finest..It takes approx 4-5 seconds.hahahahahaha
 
Ni lile anaposali Spika Samwel Sitta... (KKKT Kinondoni).

Aichangia kwaya Tshs Milioni 7...

Amalizia na kuwaomba waumini kuiombea nchi kwani iko kwenye kipindi kibaya cha watu kutafutana uchawi na kuonesha hali si shwari nchini.

Zaidi tusubiri kutoka vyombo vya nyumbani kwani walikuwepo wengi. Wasipoandika tutaandika!

....... Mkuu Invisible ntaku PM tutete faragha kidogo..
 
Ni lile anaposali Spika Samwel Sitta... (KKKT Kinondoni).

Aichangia kwaya Tshs Milioni 7...

Amalizia na kuwaomba waumini kuiombea nchi kwani iko kwenye kipindi kibaya cha watu kutafutana uchawi na kuonesha hali si shwari nchini.

Zaidi tusubiri kutoka vyombo vya nyumbani kwani walikuwepo wengi. Wasipoandika tutaandika!

Fisadi fedhuri huwa anaibukia popote si makaburini wala kuzimu tu hata misikitini na makanisani ili neno la mungu litimie, haya yameandikwa hata mwenye maandiko matakatifu ya mungu "Watatafuta neno langu siku za mwisho lakini hawataliona"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom