Mtikila na Rostam lao moja: Ila kwa sasa Rostam anaweweseka na siku si nyingi wanasiasa na waandishi watakaomgeuka nao atawataja na fedha alizowapa. Jambo la msingi ni kwamba, siku mtikila anakabidhiwa hizo fedha zinaoana na siku Mtikila alipofungua kesi dhidi ya gazeti la Mwanahalisi, na siku alipofungua kesi dhidi ya Mwanahalisi, ndio siku Rostam alifungua kesi dhidi ya Mwanahalisi. Hapo kuna kazi kweli kweli. Lakini kwa CCM wanapaswa kumfukuza Rostam kwa kushirikiana na wapinzani tena kwa kuwafadhili dhidi ya serikali na chama chao
Habari za watutsi kuvamia jeshi na financiali institutions kama BOT we umezichukulia vipi?
Kwamba hata mipaka aliyoweka mwalimu si afadhali hata ile ya mkoloni?
Kusema unapenda demokrasia na kuyachukia baadhi ya makabila na kuwakumbatia wageni ndio USHUJAA HUO?
Kusema Mtikila na Mrema walikuwa hawana akili timamu bali MKAPA NI USHUJAA?
Kwenye debate kama hizi....NO WAY!
...there u go again Mushi,haya mambo ya magabacholi,watutsi na wachaga naona wanaanza kuunganishwa kinamna siku hizi ndio mwanzo wa civil unrest katika nchi nyingi,kufikiri wahindi wote ni wezi/sio raia na kuwaita magabacholi is very unfair na hao watutsi ninavyojua wengi wao wamejaa Kigoma mpaka Ngara na ni watanzania lazima ujue katika makabila ya waha na wahangaza wengi wao ni watutsi au wahutu na wao wanajuana uliza utaelimishwa sio kurukia tuu kila mtutsi sio raia
Mtikila hajatuangusha....kama kuna dume mpaka sasa kwenye hili game ni Mtikila. Yeye amemuendea Rostam Aziz kabla ya ripoti ya Dr Mwakyembe kutoka, amekopa/amepewa Mil 3. Lakini mara baada ya ripoti ya Rostam Aziz kutoka Mtikila hakumuonea aibu kwa sababu eti alishawahi kumkopa/kumuomba Mil 3 huko nyuma. Mtikila alipogundua kuwa Rostam Aziz ni Nyani, hakumuangalia usoni; aibu wala woga Mtikila akaanza kupambana naye moja kwa moja...
Rostam mpaka sasa ametuthibitishia kuwa yeye ni FISADI kwa kugawa/kutoa/kukopesha pesa kwa wanasiasa/mashirika ya dini na wanajamii wengine huku akiwa na nia ya kuonewa aibu akiwa anatuibia Watanzania.
Bravo Mtikila, pambana nao hao kama walivyo.
Hapendwi mtu, Taifa mbele.
Report ya Mwakyembe ilieleza ubaya wowote wa Rostam Aziz? mbona sioni hapo mahali? Katika watanzania milioni 40 ameona pa kwenda kukopa ni kwa Rostam tu?????????????????????Haiingii akilini.
Hata hao wahindi na waarabu kama wanataka USALAMA WASITUHARIBIE WATOTO WETU,MALI ZETU NA VIZAZI VYETU!
Wanataka twende India na uarabuni?
Nani hajuwi huko kwao ni UBAGUZI NA MWEUSI NI KITUKO?
Hao wahindi wenyewe huko kwao wana sytem ambayo hata mwalimu mweyewe nashangaa kwanini aliwakumbatia watu wenye kubaguana kwa sytem ya "CASTES"
Uarabuni kuna mafuta lakini hawawezi lima chakula hivyo tunategemeana na sisi tumewazidi wote bila kujali mzungu,mwarabu wala mchina china!
Washiriki kikamilifu kwenye UCHUMI NA NAMNA YA KUMKWAMUA MTANZANIA MWEUSI AMBAYE WANAKULA MALI ZAKE BILA HATA YA KUNAWA!
Sasa viongozi wetu wanasema sisi wananchi ni WABOVU..NA KUSEMA SISI NI MASIKINI OMBA OMBA...NA SASA BAADA YA MUHINDI..ETI WAMEMETA MCHINA MASIKINI AMBAYE NAYE KAMA MUHINDI..ATATAJIRIKA NA MUDA SI MREFU CHINGA NA KINA MTIKLA WATAKUWA WAKIPITA MADUKANI NA MAOFISI KWAO WAKI OMBA OMBA!
Nani wa kutumbia kitu?
Mwarabu kwasabau ya mafuta?
HATA SISI TUNA MAFUTA..TENA TUNA DIAMONDS NA GOLD NA MADINI MENGINE KEDEKEDE!
WAHINDI?
No WAY...TUNA ARDHI YA KUILISHA DUNIA NZIMA WAZUNGU NA WAHINDI HATUNA HAJA NA KACHORI ZAO!
Na pia HATUNA HAJA YA TSIVANGIRAI!
Tunataka hata wao wabadilike ili masiha ya mweusi yawe mazuri kama yao la SIVYO WAONDOKE NCHINI!
...there u go again Mushi,haya mambo ya magabacholi,watutsi na wachaga naona wanaanza kuunganishwa kinamna siku hizi ndio mwanzo wa civil unrest katika nchi nyingi,kufikiri wahindi wote ni wezi/sio raia na kuwaita magabacholi is very unfair na hao watutsi ninavyojua wengi wao wamejaa Kigoma mpaka Ngara na ni watanzania lazima ujue katika makabila ya waha na wahangaza wengi wao ni watutsi au wahutu na wao wanajuana uliza utaelimishwa sio kurukia tuu kila mtutsi sio raia
...endelea kutumia hizo lugha zako za wahindi,mtanzania mweusi,mtutsi,mwarabu etc ila siku wengine wakianza kutumia mangi na kuanza kukutoa mbio ndio utatia akili
Wanandugu,
Hivi kuna mtu hapa maishani hajawahi KUKOPA? Kukopa kuna ubaya gani? Hata kama RA ni fisadi sasa ina uhusiano gani na KUKOPA? Angelikuwa kapewa fedha hilo ni jingine. Na hapa tunaongelea dola 3,000 tu ambayo ni nauli ya kwenda USA na kurudi na bado hapo hujala. Hebu tuache USHAMBA. Tunakuwa kama wale jamaa wa mitaani kuwa tayari KUMCHOMA mwizi wa shilingi 10,000 ila FISADI kumsujudu. Badala ya kukaa kujadili juu ya wizi wa MABILIONI, sisi tunajadili milion 3. Kwa kweli hata kama RA anaifahamu JF na kuja kusoma hii thread, inabidi ajisifu kuwa ".. Ahhh kweli mie nina akili, nimeigawa hata JF? .." Watu utafikiri walikuwa wakisubiri Mtikila ajikwae na hapo waanze kuonyesha jinsi ALIVYOANGUKIA KINYESI. Loooohhhhh, tooooo shame.
Mie nilishakopa mara nyingi tu. Nilishakuwa kwenye sherehe kibao. Ikitokea kesho eti hao watu ni MAFISADI au MAUWAJI, haimaanishi namimi nimekuwa kama wao. Mhhh, kazi ipo nchi hiyo. Heri hata ya Wachina na wengi wao but they think +.
Nani anitowe mbiyo?
Mwarabu ama muhindi?
Kwenye nchi yangu?
THUBUTU!
Wamwulize MZUNGU MKOLONI NA KABURU KWANZA!
kaka samahani ila i think africa is for african na wahindi wengi kama kina Rostam hawa uchungu na nchi yetu na ndio maana unaona wanafanya wanayoyafanya, you go to india kama utapewa cheo chochote na ngozi yako yenyeusi, apart from america niambie nchi nyingine ya ngozi nyeupe utakayokuta muafrica( when i say muafrica i mean a black african and not waafrica kama kina RA, Tanil etc) mwenye cheo cha kisiasa......Hii nchi imeuzwa ndugu zangu and it pain me kuona wahindi wanakuja kutupelekesha katika nchi yetu....Kuhusu watusti kwakweli sina usemi kama tutakuwa wakweli most of them are not tanzanians by origin na ndio maana wengi waliokuwa na elimu walirudi kwao baada ya genocide..sorry kama wewe ni mtusi ila ndio hivyo
Kati ya hao ulio wataja yupi afadhali?
Namaanisha nani afadhali kati ya;-
1.MWARABU,
2.MHINDI,
3.KABURU,
4.MZUNGU.
Yupi ni bora kati ya hawa juu hapo maana wote wanatunyonya.