asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Kwa hili dokta Slaa have to Clear his Mess before its too late ....umeishi na mwanamke kwa zaidi ya miaka 23 na umezaa naye watoto wawili, huwezi ukamuacha huyo mwanamke kienyeji tu bila kusettle Affairs zenu vizuri.
With this mashahidi watakuwa wengi Against you wakiwemo ndugu ,jamaa ,marafiki ,majirani wa Sinza ,majirani wa Karatu ,Majirani wa Bassotu ,Barua yako kwa Papa ,na barua ya Majibu ya Papa.
kwanza kwanini uliitwa kwenye Baraza la Maskofu ukakataa kwenda?
Rose amefanya juhudi nyingi sana kulitatua hili jambo nje ya Mahakama lakini hukumpa ushirikiano. this is'nt Politics ,hili ni lako Binafsi wewe ,Rose na Watoto wenu Wawili!
Msiangalie kila kitu kwenye Macho ya Kisiasa ,hili siyi siasa na kama kuna mtu anabetter Solution akasolve hili katika level yeye anayoona kuwa haitaruin Public image ya Slaa.
Slaa you see this was coming but ni kwanini hukutoa ushirikiano kwa Rose alipotaka mlimalize hili chini kwa chini kulinda Heshima zenu na Image ya chama kama kweli mnaona hili jambo ni la kisiasa ,Tuacheni propaganda kwenye Maisha binafsi ya mtu.....waacheni watu watafute solution ya matatizo yao binafsi.