Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 427
Dr Slaa, maliza mgogoro na familia yako kaa chini na wanawake wako mzungumze haya maswala ya ndoa yanaitaji hekima sana nikimuangalia Rose Kamili anaonekana muungwana sana mpaka imefikia kwenda mahakamani kuna kitu kafanyiwa kibaya kuhusu watoto wake...Dr Slaa usilete ubabe sio siasa hizo.
Loh mkuu! Umeongea maneno ya hekima sana utafikiri wahenga wa kale. Kwangu mimi nadhani Dr Slaa anayaweza sana mambo ya kisiasa. Lakini kwa upande wa mambo ya kifamilia nashaka ni dhaifu. Mungu hawezi kukupa uwezo wa kila kitu, hata kwenye mambo ya ngono nahisi kama anakatamaa fulani hivi. Mtu wa hivi anaweza kutumia madaraka yake kwa ajili ya kupora wake za watu. Aisee 2015 bora Zitto, au Mbowe wagombee. Ikibidi Shibuda poa tu.