Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,271
Hiyo ndio State gani?.Romney atashinda OH ,VA,WN CO,Huku watu wamemchoka ObAMA amepewa miaka 4 ameshindwa we need a real change ,its Romney now
Hiyo ndio State gani?.Romney atashinda OH ,VA,WN CO,Huku watu wamemchoka ObAMA amepewa miaka 4 ameshindwa we need a real change ,its Romney now
Siyo hiyo article pekee,kitu atakachokumbuka kuwa alimess up ni ile add yake ambayo ni missleading akisema GM inahamishia production ya Jeep China,kumbe ni uongo mtupu na CEO wa GM akajitokeza kusema kwamba Romney kaongopa na hilo litamcost sana Ohio.Mwanakijiji,
Nadhani ingekuwa vyema ukajikita kwenye uchambuzi wa siasa za Tanzania; kwani, utabiri wako wa hapo juu umekuwa biased sana. Unasema Romney OH? Campaign ya Romney iko kwenye desperation mode, kila anavyopiga mahesabu hapati kura 270 na ndio maana hata leo siku ya kupiga kura amerudi Ohio ku-campaign. Jana niliwasikiliza maconservative wote Rush Limbaugh, Glen Beck, Hugh Hewitt na Dennis Prager, na kitu kikubwa nilichokiona (underlying theme) ni kuwa wanaona ya kuwa this thing is slipping away. Hata move ya Romney kwenda PA, ilikuwa ni ya kijinga.
Romney kama hasingetafuta credibility kwa maconservative na kuandika article yenye title ya kijinga kwenye New York Times aliyoipa jina la " Let Detroit Go Bankrupt" angeshinda Ohio na Michigan na kushinda uchaguzi! Trust me kama akishindwa leo basi hiyo article ndiyo itakuwa imemmaliza.
7.0,below national average.Things are getting better,hawana haja wala sababu ya kumweka Romney.Hivi unemployment rate ya Ohio ni kiasi gani?
Romney atashinda OH ,VA,WN CO,Huku watu wamemchoka ObAMA amepewa miaka 4 ameshindwa we need a real change ,its Romney now
7.0,below national average.Things are getting better,hawana haja wala sababu ya kumweka Romney.
Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes.
I know its bigger than Ohio,lakini si aliuliza kuhusu unemployement number ya Ohio na nikampa na kumwambia its below the national average?Ingekuwa ni uchaguzi wa Gavana wa Ohio then ingekuwa kweli; but it is bigger than Ohio....
Mchambuzi,
Momentum aliyokuwa nayo Romney ni ngumu sana kumpa Obama ushindi.
Nimeangalia upigaji kura, naweza sema Romney will be the next president.
Obama alipoachia FL na OH zikawa tie imemuweka katika mazingira magumu sana.
Matokeo yote yatategemea sana FL na OH kwa wote wawili.
Nje ya hapo, its a clean victory for Obama; Mimi nimeshaanza kushangilia kwani Romney kushinda ni mazingaombwe; Just as his numbers didn't add up kwenye debate about his economy plan, his numbers don't add up kwenye electoral votes;
I know its bigger than Ohio,lakini si aliuliza kuhusu unemployement number ya Ohio na nikampa na kumwambia its below the national average?
Halafu unaposema "its bigger than Ohio" unasahau umuhimu wa Ohio,unaibeza Ohio na wakati wagombea wote hawakufanya hivyo?
I know its bigger than Ohio,lakini si aliuliza kuhusu unemployement number ya Ohio na nikampa na kumwambia its below the national average?
Halafu unaposema "its bigger than Ohio" unasahau umuhimu wa Ohio,unaibeza Ohio na wakati wagombea wote hawakufanya hivyo?
Ama ulitaka iwe Michigan?Kwanza uko kwenyewe Obama atapeta.Wenye nchi waliko huko wana appreciate kuliko wewe,uko kijiji gani Michigan?
Uko maeneo ya viwanda vya magari vinavyo ufufua uchumi wa Detroit once again?
Ama ulitaka waendelee kusota na crime rates na umasikini uendelee kuongezeka?
Duh!Huwa najiuliza maswali mengi sana ili majibu sipati.Uko maeneo ya middle class ambayo yalikuwa crime riddled baada ya viwanda kufa ama uko kwa matajiri?
"Its beyond imagination"
Na wewe wakati mwingine huna matatizo?Ama wewe ni malaika?Watu wengine bana!Wakati mwingine wewe una matatizo.. sijaibeza Ohio.. that was factual statement.. Uchaguzi ni zaidi ya Ohio!!
Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes.
That's my guess work