Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,092
- 43,265
- Thread starter
- #121
mzee samahani hivi kwanini vyama vingine havisimamishi wagombea kwenye nafasi ya urais?
Je kuna sheria yeyote inayowazuia?
Vinasimamisha sana ila ndio kuwa system yao ina favor vyama viwili tu. Ukiona sample ballot ya mgombea wa Urais kuna majina mengine kutegemeana na state na state (kila state ina sheria zake za watu kuingia kwenye orodha ya wagombea urais)
Angalia sampe hii: