Romney kushinda kesho...

Romney kushinda kesho...

Status
Not open for further replies.
Watu wamebaki kupiga ramli sasa, no pools no predictions no maths nor whatever.....
 
Safari hii obama akishinda lazima aje kenya na kunauwezekano wa kushuka na hapa tz,tumuombeen ashinda me na mkubali sana mungu mmbarik ashinde na lema ashinde,hiyo tarehe 8
 
Lakini lazima tukubali Race inaweaza ikawa facts kabisa ya kuanguka kwake japo kuna nyingine kama umarekani wake lakini naamini Race ita play party kubwa!
Na hizi ndio zengwe wanazo zitumia republican kumsupress Obama!
Mwisho wa siku obama atashinda japo naamini ushindi hautakuwa wa kishindo!

Believe me there are exceptions to the rule. Ni kweli Obama being an incumbent - a popular one for that matter - ana nafasi kubwa sana ya kushinda. Lakini factors nyingi ambazo zimetokea hapa katikati zimefanya ushindi wake kutokuwa kirahisi. Nadhani the so called "conventional wisdom" haitaapply hapa na watu watajaribu kuelezea kwanini Obama amekataliwa.

Kinachotisha ni kuwa maelezo mengi yatakuja na suala la "race"...
 
Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes. Obama hata hivyo anaweza kushinda popular votes. Kwa kufuatilia hizi siasa Romney atashinda VA, WI na OH pamoja na FL nai have strong feelings kuwa atachukua PA.

That's my guess work

Mwanakijiji,

Nadhani ingekuwa vyema ukajikita kwenye uchambuzi wa siasa za Tanzania; kwani, utabiri wako wa hapo juu umekuwa biased sana. Unasema Romney OH? Campaign ya Romney iko kwenye desperation mode, kila anavyopiga mahesabu hapati kura 270 na ndio maana hata leo siku ya kupiga kura amerudi Ohio ku-campaign. Jana niliwasikiliza maconservative wote Rush Limbaugh, Glen Beck, Hugh Hewitt na Dennis Prager, na kitu kikubwa nilichokiona (underlying theme) ni kuwa wanaona ya kuwa this thing is slipping away. Hata move ya Romney kwenda PA, ilikuwa ni ya kijinga.

Romney kama hasingetafuta credibility kwa maconservative na kuandika article yenye title ya kijinga kwenye New York Times aliyoipa jina la " Let Detroit Go Bankrupt" angeshinda Ohio na Michigan na kushinda uchaguzi! Trust me kama akishindwa leo basi hiyo article ndiyo itakuwa imemmaliza.
 
Kwa mtazamo wangu, scenario ya Romney kushinda ni moja tu - pale ambapo kila mmoja atakosa enough electoral votes na hivyo kupelekea mpira kupelekwa bungeni kupigiwa kura; Bunge la sasa lina republicans wengi zaifi hivyo Romney atapita under that scenario, vinginevyo ushindi wa Obama kwa point chache za electoral votes ni more feasible; Obama anahitaji Ohio, Wisconsin na Nevada, akizipata hizi, romney hawezi fikisha 270 kwani as of now Obama ana uhakika wa like 230 electoral votes na hii ni namba ya chini sana kwani predictions nyingi zinampa Obama more points; All in all, possibilities za Obama Ohio na Nevada ni kubwa sana, tuombee apate Wisconsin pia;
 
labda obama atafikiria africa mara hiii ya pili maana ya kwanza...anajua
 
You are missing the point kuhusu Ohio; Ohio kama other Midwestern states zimepigwa sana na recession na ndizo ambazo kwa kweli zilimpa ushindi Obama 2008. Maisha ya wengi hawa hayajabadilika; ile njozi ya 'hope' and 'change' ilipotea kama wingu lisilo na mvua. Sasa japo mwanzoni OH ilikuwa ni ya Obama lakini kwa kadiri kampeni zilivyooenda watu ambao walikuwa hawajaamua watampigia nani wakaamua kuanza kumuangalia tena Romney. His 'five point plan' imewagusa wengi sana hasa wafanyakazi wa kawaida ambao sidhani kama wanataka miaka minne mingine ya majaribio ya sera za kiliberali.

Matokeo yake OH imekuwa ni battleground kwa sababu yoyote atakayeshinda atashinda kwa asilimia ndogo na ndio sababu Romney hajaamua kuiachia tu.
 
Mchambuzi mark my words; this ends here tonight.. hakuna kutokujulikana mshindi. Baada ya OH kuanguka na PA kuanguka Obama will deliver his concession speech late tonight maana hakutakuwa na ujanja. The American people bwana they are predictable but also very precise. Nilikuwa nafikiria kuna uwezekano wa kudrag huu uchaguzi but I don't see it; the big upsets zitawashtua wengi ambao wamekuwa wakiamini uliberarli una mvuto. But for now ni uhafidhina ndio ambao unaonekana kuhitajika zaidi sasa hivi.
 
Hivi unemployment rate ya Ohio ni kiasi gani?
 
labda obama atafikiria africa mara hiii ya pili maana ya kwanza...anajua
So what?
Waafrika wenyewe wanashindwa kufikiri kutatua matatizo yao halafu unataka Obama awafikirie!!!
Hizo ni akili za matope kabisa.

Obama ni rais wa marekani sio wa bara la Afrika.
 
Safari hii obama akishinda lazima aje kenya na kunauwezekano wa kushuka na hapa tz,tumuombeen ashinda me na mkubali sana mungu mmbarik ashinde na lema ashinde,hiyo tarehe 8
So what?
Wewe una akili za kitoto sana.
Obama aje East Africa kufanya nini?
Aje kugawa vyandarua?
Aje kuchota madini?
Aje kushangaa wanyama na mlima?
 
Mchambuzi mark my words; this ends here tonight.. hakuna kutokujulikana mshindi. Baada ya OH kuanguka na PA kuanguka Obama will deliver his concession speech late tonight maana hakutakuwa na ujanja. The American people bwana they are predictable but also very precise. Nilikuwa nafikiria kuna uwezekano wa kudrag huu uchaguzi but I don't see it; the big upsets zitawashtua wengi ambao wamekuwa wakiamini uliberarli una mvuto. But for now ni uhafidhina ndio ambao unaonekana kuhitajika zaidi sasa hivi.

OH will go to Obama Mkuu, at least hiyo;Najaribu kukuelewa Mzee Mwanakijiji, so you are almost certain kwamba kuanzia kesho tutakuwa tunaongelea on how Obama was a one term president? Nimependa hoja yako ya uliberali vis a vis uhafidhiana;
 
Mwanakijiji anaongea tuu kama kina Rush Limbaugh, hana facts zozote na ana-under-estimate Chicago machine. Nasikia hiyo ground game ya hapo Ohio inatisha jamani! Anyaway,tusubiri mitaa ya saa tatu usiku wakati MSNBC watakapodeclare kuwa Obama ndio mshindi. Nina hamu sana ya kuwaangalia FOX news watasema nini?
 
Republicans wanatia watu matumbo joto tu, na mkakati wao wa kujifanya ni underdog huku pia wakidai wanazo internal polls zao zilisaidia kwa kiasi fulani to deter sympathizers wa Obama kwamba he is the winner already, ila it looks like sympathizers wengi wa Obama wameshtukia mchezo dakika ya mwisho; kuna uwezekano Obama akapata popular votes nyingi sana, pengine close to Al Gore, kwani Algore broke the record in popular votes;

Vinginevyo kwa kweli mimi sioni how Romney is going to pull this off kwani battle ground states, hata ushindi wa hizi kwa margin ya 60 to Romney 40 to Obama, Obama takes it all; Ushindi wa Romney in my view would occur kupitia a tie on Electoral Votes i.e. 269 by 269; Uwezekano wa this scenario ni mfano ikitokea Obama wins PA, OH, NH & WI, huku Romney yeye akishinda IA, NC, CO, FL, NV and other battle ground states;

Ikitokea a tie kwenye electoral votes, as we know, suala hili litapelekwa kwenye Senate and House of Reps, na Kwa mujibu wa Katiba, the House elects the President, and the Senate Vice President, which means Romney will be the President, and Biden the Vice President; Odd, but possible if it ends up as a tie on electoral votes;

Guys, Obama ni Rais na atapata electoral votes between 273 & 276; Pia state muhimu kuiangalia ni VA, Obama akishinda hii, the game is over; VA mara nyingi imekuwa inaenda kwa Mshindi, na for some reasons, VA huwa ina reflect mwenendo wa upigaji kura kitaifa;
 
Romney atashinda OH ,VA,WN CO,Huku watu wamemchoka ObAMA amepewa miaka 4 ameshindwa we need a real change ,its Romney now
 
na hizi unampa nani - IA, NC, FL, NV, PA? pia je wewe ni mhafidhiana? ushindi wa Romney mgumu sana kwani Obama ana routes nyingi zaidi za ushindi, e.g OHIO, PA, WI, means anapata atleast 271 electoral votes; either way, Romney ana hali ngumu sana;
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom