.. mwenyewe nimekaa hapa nimejikunyata kama ndege aliyenyeshwa na maji
He is only interested in Ohio, not Michigan. Even if Romney does not concede Ohio, Obama will win election with Colorado victory
Masikini Mwanakijiji,naona kaamuwa kwenda kulala!
Utakomaje mtabiri fake lol
Tusubiri Romney I concede ili niwapongeze mashabiki wa Obama. Demokrasia ya Kimarekani imefanya kazi yake.
hivi fikiria wakisema baadaye usiku kuwa "earlier projections" hazikuwa sawasawa wanaiondoa OH kwa Obama au Michigan kwa Obama... it won't be good...
haya ita majina yote umalize ili ujisikie raha zaidi uso kama mbuzi wa mnada.
Wameshacall Colorado? sijaangalia...
haya ita majina yote umalize ili ujisikie raha zaidi uso kama mbuzi wa mnada.
mbona na miye naziona vile vile wanavyosema kwenye media.. mwenyewe nimekaa hapa nimejikunyata kama ndege aliyenyeshwa na maji
ha ha ha....kweli uso wake kama mbuzi..........watu wengine wanapenda ku pick on people hasa je Romney angeshinda? watu wote waliokuwa wanatabiri on this election nao ni watabiri fake, i'm sure walifanya hivyo based on numbers na jinsi election map ilivyokuwa