jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
Troy ni kuzuri sana tu,i aggree.Lakini haina maana automotive bail out haijausaidia uchumi wa Michigan.Consider the community at large.Angalia Troy, MI
Troy ni kuzuri sana tu,i aggree.Lakini haina maana automotive bail out haijausaidia uchumi wa Michigan.Consider the community at large.Angalia Troy, MI
Na wewe wakati mwingine huna matatizo?Ama wewe ni malaika?Watu wengine bana!
[B said:jmushi1;4979663]Troy ni kuzuri sana tu,i aggree.Lakini haina maana automotive bail out haijausaidia uchumi wa Michigan.Consider the community at large[/B].
Miaka yote hiyo nilikuwa fine tu,inawezekana pia kuwa wewe ulikuwa hunielewi.Hakuna nlichojifunza ambacho kimenibadilisha.Sana sana nimekuwa a bit more patient,thats it.But i'm the same!unaona sasa; baada ya miaka yote hii nilidhani umejifunza kutulia na kusoma kitu kwanza na kuelewa kabla ya kureact. Take time to read na kama kitu unaweza kuwa umekielewa vibaya uliza ili mtu akueleweshe usije ukamwelewa mtu vibaya pasi ya sababu.
Miaka yote hiyo nilikuwa fine tu,inawezekana pia kuwa wewe ulikuwa hunielewi.Hakuna nlichojifunza ambacho kimenibadilisha.Sana sana nimekuwa a bit more patient,thats it.But i'm the same!
That Ohio matters?Tulia ufuatile ngoma,maana siku hizi naona sijui unazeeka vibaya?I see and I have noticed.
That Ohio matters?Tulia ufuatile ngoma,maana siku hizi naona sijui unazeeka vibaya?
cnn projection inaonyesha Obama atachukuwa Ohio na Florida anaongoza kwa kura 90,00 na ushee.Hadi sasa Romney ana electoral votes 33 na Obama ana 3.Lakini ngoma bado mbichi sana.
Florida Romney anaongoza(kwenye county ambayo ni muhimu),lakini overall bado Obama anaongoza FL,tonight will be like a roller coaster ride.Votes za Florida ni za town. Matokeo ya kura za vijijini bado.
Virginia, more turn out for black voters than in the previous election - more votes for Obama
Also independent voters are 10% up - they always support Republican.
Florida Romney anaongoza,tonight will be like a roller coaster ride.
matokeo kamili tutayapata usiku huu?Hadi usawa huu Romney anaongoza Florida,Obama 42% na Romney 57%,kura zilizohesabiwa hadi sasa ni 55%,very close race hapo FL.
CNN electoral projection ni Obama 64 na Romney 56,mchuano ni mkali sana!
Thats what we're hoping for,tutakujulisha mkuu.Matokeo yanaweza kuwa usiku huu kama mpambano hautakuwa very close,kwasababu ukiwa close,itabidi wategemee kura nyingine za kuhesabiwa ambazo hazikuweza kuhesabiwa usiku huu ie absentee ballots ambazo inaweza kuchukuwa hadi wiki mbili kupata totals.matokeo kamili tutayapata usiku huu?
Romney yuko mbele Virginia,ninahisi atalichukuwa jimbo hilo.Nina imani kubwa na jimbo la FL kwa Obama,however still too early.Florida might go to him. Akikosa hapo akalale tuu.
Issue ipo Virginia. Obama akishinda hapa, Florida results will be irrelevant.
Votes za Florida ni za town. Matokeo ya kura za vijijini bado.
Virginia, more turn out for black voters than in the previous election - more votes for Obama
Also independent voters are 10% up - they always support Republican.
matokeo kamili tutayapata usiku huu?
Romney atachukua Virginia... comfortably... baadaye tuulizane how ...
under normal circumstances ndio ni lazima tuyapate na mimi naamini tutayapata usiku huu.
Kama Romney akichukua Virginia, na Obama Flolrida, will that make any difference?