Romney kushinda kesho...

Romney kushinda kesho...

Status
Not open for further replies.
Nawasikiliza wachambuzi wa mambo ya siasa CNN na wote wanakubaliana kwamba BO' yuko kwenye njia rahisi kufikisha 270 electoral votes ukilinganisha na Romnesia. Wanadai performance yake katika wiki hii ya mwisho katika kudeal na superstorm sandy imempa advantage, lakini chochote kinaweza kutokea.

Uchambuzi humu ni wa kuhisia zaidi. Chungulieni na kule kwenye Intrade Real Time Quotes/Intrade Market Prices for General Election. Leo Obama yuko kwenye 70.3 vs. Romney 30.1. Hawajawahi kukosea hawa tangu waanze enzi za JFK vs Nixon
 
Anyone do polls analysis for living?

Statistics/probability studies there is no true population ...we work on samples to predict ...

Ktk kipindi kama hiki ambapo polls ziko so close with a big margin of error... projection turn to more ramli than calculation .

Ni kuacha siku ifike u deal na true population ...kila mtu atakaye bashiri anasababu zinazo support ubashiri wake .
 
Mkuu kama nakuelewa vile! AND that is why maoni yangu sikuyaelekeza kwenye hizo kampeni zao za statistic/probability etc ...mine its simply the bottom line of all that!! Obama isn't wining!!
 
Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes. Obama hata hivyo anaweza kushinda popular votes. Kwa kufuatilia hizi siasa Romney atashinda VA, WI na OH pamoja na FL nai have strong feelings kuwa atachukua PA.

That's my guess work
Mkuu nadhani it might be the opposite,yani Obama anaweza kushinda electoral votes na Romney popular votes.Tusubiri kesho ndo mwisho wa maneno.Kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa kesho mshindi anaweza asitangazwe.Kuna irregularities kibao ambazo tayari wanasheria wanazitupia macho.So kama ikiwa close,basi shughuli ipo kwasababu kila upande uko so passionate.
 
Naunga mkono kauli yako Mkuu jmushi1 leo nimesikiliza wachambuzi wengi magwiji wa mambo ya chaguzi za Marekani na asilimia kubwa wanadai kwamba BO' ana advantage japo si kubwa ki hivyo na wanadai kibao kinaweza kugeuka na Romnesia kuchukua nchi, lakini kama ulivyosoma katika ile thread nyingine kuna dalili kubwa uchaguzi huu mshindi akapatikana mahakamani. Naomba hili lisitokee maana ndiyo yatakuwa mambo yale yale ya Florida 2000 ya hanging chad, dimpled chad na pregnant chad ...

Mkuu nadhani it might be the opposite,yani Obama anaweza kushinda electoral votes na Romney popular votes.Tusubiri kesho ndo mwisho wa maneno.Kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa kesho mshindi anaweza asitangazwe.Kuna irregularities kibao ambazo tayari wanasheria wanazitupia macho.So kama ikiwa close,basi shughuli ipo kwasababu kila upande uko so passionate.
 
Last edited by a moderator:
Mchuano ni mkali sana na Obama ana wakati mgumu licha ya kura nyingi za maoni kumpa edge kidogo.
Advantage ya Obama ni kuwa katika poll nyingi anaongoza kwa point 2 au tatu. Advantage aliyo nayo Romney ni kuwa yupo karibu sana na Incumbent president. Hili lime excite sana republican base na wengi wanajitokeza katika kupiga kura.

Hamasa kwa Dem siyo kama iliyokuwepo 2008 na hilo linawatia mashaka sana Dem.
Obama atashinda OH, FL ameachia hata kampeni ni kama waliahirisha.
WS kwa Paul Ryan hakuonekani kuwapa G.O.P nafasi kubwa na inabaki kuwa toss up.

Kuna uwezekano OB akapata electoral votes za kushinda lakini popular vote akachukua Romney.
Rais atapatikana kwa kati ya 270 na 277, iwe OB au Romney.

Kwa jinsi hali ilivyo, uwezekano wa Romney kuwa Rais ni mkubwa sana!
Kitu pekee kinachoweza kumzuia Romney ni ''upset ya FL na OH''. OB akishinda hizo the game is over.
Akipoteza zote the game is over kwake
 
Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes. Obama hata hivyo anaweza kushinda popular votes. Kwa kufuatilia hizi siasa Romney atashinda VA, WI na OH pamoja na FL nai have strong feelings kuwa atachukua PA.

That's my guess work

Wow Mwanakijiji, can we meet here tomorrow night? The sleeping giant has just woken up all fired up. Your guess? Dont you start worrying now...it is only a few more hours wait!
 
Mchambuzi kwa Romney kushinda naamini he will have to atleast with either one of these two on condition pia kuwa anashinda CO... lakini kama CO inaenda kwa Obama (which it probably will).. Romney ni lazima ashinde kati ya hizi mbili. PA, OH, CO, VA, WI na FL haziwezi kwenda kwa mtu mmoja. At least thats how I'm reasoning.

Tuseme tusemayo lkn Obama ndiye mshindi wa urais wa US mwaka 2012!
 
Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes. Obama hata hivyo anaweza kushinda popular votes. Kwa kufuatilia hizi siasa Romney atashinda VA, WI na OH pamoja na FL nai have strong feelings kuwa atachukua PA.

That's my guess work

.... THAT IS UR GUESS WORK...

But all Swing States of OH, CO, PA, FL.... etc Obama is ahead....!!! And you know that most Latinos are in those Swing States...!!

Ohio Obama will win, why ..!!?? Auto Bailout for Detroit...!! Of which Romnesia openly critisized Obama for subsidizing Car maker Co..... Ohioans are unhappy.....

Obama for more next 4 yrs...!!
 
Binafsi nitaendelea kujifunza toka kwenu japo nafuatilia via mitandao na TV,kwangu ni muhimu kujipa muda wa kujifunza kwa wengine.Mkuu Mchambuzi na Mzee Mwanakijiji na wengine ninawafuatilia ktk jukwaa hili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom