Romney kushinda kesho...

Romney kushinda kesho...

Status
Not open for further replies.
Haya kuna tweet ya job bush(to b confirmed) - Romney lost FLorida
 
CNN wanakwambia labda Mitt asubilie plan E ........lol
Maana PA,WI,MI ...as plan B,C,D ..kushne...
 
Hadi sasa Obama anaongoza kwa 244 electrol votes dhidi ya 188 za M.Romney

na hizi unampa nani - IA, NC, FL, NV, PA? pia je wewe ni mhafidhiana? ushindi wa Romney mgumu sana kwani Obama ana routes nyingi zaidi za ushindi, e.g OHIO, PA, WI, means anapata atleast 271 electoral votes; either way, Romney ana hali ngumu sana;
 
The party begins in Chicago.
 
MM Nadhani utakubaliana na prediction yangu kuhusu the first 243EV in the bag for BHO hate Kabila ya votes kuhesabiwa, projection kwa sasa no 244ev
 
... i so not want this thread's first post to materialize!!
 
Hapa MI.. sasa hivi with 45% counting Romney anaongoza kwa asilimia 51... Detroit Proper Obama atashinda sana (ni black majority) lakini nje ya Jiji lenyewe kwa kweli ni maeneo ya vijijini sana...
Mwanakijiji, je upo?
 
ABC....Florida to Obama! Baleteee baleteeee!
 
ABC: Obama 251 electoral college votes so fat, bado 20 tu!
 
Jaluo inaelekea atarudi magogoni ya USA
 
Naona hadi sasa Obama anazidi kuchanja mbuga ana 251 electrol votes dhidi ya 203 za MittRomney na wafuasi wake wamelipuka huko!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom