Romney kushinda kesho...

Romney kushinda kesho...

Status
Not open for further replies.
In short mpaka sasa BHO ana 243 EV excluding all the true battle ground states. How does Romney win? still curious.
 
Hivi punde watakuja na breaking news: Romney projected to win in California.

Duh kweli itakuwa breaking new ...na hakuta kuwa kusubili tena OH wala FL
ahahaaaaaaaaaaaaaaa maana lina electoral votes za kutisha
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ila kama inaangaliwa vizuri inaonekana bado Romney kwenye popular vote anaongoza - something kwa kweli sikukifikiria... ngoja tuone...
 
Lets wait and see,Cuyahoga county is what Obama is banking on,na hadi usawa huu yuko mbele saana tu na Cuyahoga anazibeba tu.

Mangi wee jidanganye tu......subiri disappointment......this is not 2008 arifu!
 
ila kama inaangaliwa vizuri inaonekana bado Romney kwenye popular vote anaongoza - something kwa kweli sikukifikiria... ngoja tuone...

MM tafadhali bana, hivi si unajua Kura majority za Romney ni kutoka confederacy , just wait tuone kura za CA, NY total, Illinois total zitatuambiaje, maana Hizo zitafuta Hizo lead in a minute
 
Mangi wee jidanganye tu......subiri disappointment......this is not 2008 arifu!

Wapiga hesabu wenyewe ambao wanafanya kama kazi wanasema "is anybody game" ni subra tu inahitajika
 
This is like a nice soccer game... kosa kosa nyingiiii na kipenga cha mwisho hakijalia bado.. FL imeanza kutighten siyo?
 
Al Gore tweets: I am confident in saying that President Obama is going to carry the state of Florida tonight.
 
Mangi wee jidanganye tu......subiri disappointment......this is not 2008 arifu!
Mkuu badili badili channels kidogo!Hata makao makuu ya Romney ambapo mashabiki wake wanasubiri wana screens zote si Fix peke yake.
 
This is like a nice soccer game... kosa kosa nyingiiii na kipenga cha mwisho hakijalia bado.. FL imeanza kutighten siyo?
Usiufanywe moyo wako kuwa mgumu!Ujitayarishe kuwa dissapointed maana una mapenzi makubwa sana kwa Romney!lol!
 
Florida inamponyoka Romney, akishindwa hapo ahesabu maumivu..nadhani kwenye kambi yake atakuwa na wakati mgumu sana ss hivi kumeza...
 
Did this guy loose?

mtakin1-20121107143224974862-300x0.jpg
 
Hapa MI.. sasa hivi with 45% counting Romney anaongoza kwa asilimia 51... Detroit Proper Obama atashinda sana (ni black majority) lakini nje ya Jiji lenyewe kwa kweli ni maeneo ya vijijini sana...
 
Hapa MI.. sasa hivi with 45% counting Romney anaongoza kwa asilimia 51... Detroit Proper Obama atashinda sana (ni black majority) lakini nje ya Jiji lenyewe kwa kweli ni maeneo ya vijijini sana...

With all those states now in his column, Obama now has 244 electoral votes - 26 short of the winning post.

Florida and its 29 votes will put him over the top.

He may not even need Ohio and Virginia.
 
Ni OBAMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, Romney pole
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom