Hamwendi mahali bila Ohio,huko Fix wanasemaje kuhusu OH?What about FL?
Ohio tunachukua Mangi......wee/nyie subirini......mchanganyikiwe
Hamwendi mahali bila Ohio,huko Fix wanasemaje kuhusu OH?What about FL?
bora umekiri we ni kilaza huweza kuwaka kwa kina. guessing zako sio za logic, ila ni kama za "tossing a coin"
Hahaha ndani ya Romney's campaign in Boston wanaangalia fox Nuwz, that just tells u how pessimistic these guys are
Halafu Fox breaking news: Romney expected to win Texas. lol
Usiwe na haraka mkuu,utafaidika kitu gani?Usijitafutie ugonjwa wa moyo kwa kubank all the way halafu ukawa dissapointed na kuwa broken hearted.Just be hopefull or optimistic na si kuwa kama vile una uhakika bana.Relax.Mods...badilisheni Title....andikeni "Romney Kushinda Uchaguzi"!!.........
Yaani ukijumlisha CA BHO'S amebakiwa na just about 50 EV to win this thing
Lets wait and see,Cuyahoga county is what Obama is banking on,na hadi usawa huu yuko mbele saana tu na Cuyahoga anazibeba tu.Ohio tunachukua Mangi......wee/nyie subirini......mchanganyikiwe
Miye nasubiri ikifika 11:00pm kwani data zitakuwa nyingi zaidi na msishangae upepo unabadilika na kuanza kuvuma kwa kasi kuelekea upande wa Romney...
ambazo hawezi kuzifikisha......watch!...........
Miye nasubiri ikifika 11:00pm kwani data zitakuwa nyingi zaidi na msishangae upepo unabadilika na kuanza kuvuma kwa kasi kuelekea upande wa Romney...
aisee.. ngoja tuone inavyokwenda lakini inaonekana Obama anaweza kurudi kwani majimbo yote niliyoguess yanaweza kwenda kwa Romney bado hata moja halijaenda kwa Romney...
Miye nasubiri ikifika 11:00pm kwani data zitakuwa nyingi zaidi na msishangae upepo unabadilika na kuanza kuvuma kwa kasi kuelekea upande wa Romney...
.......tusubilia FL and OH itatuambia VA pia ...
Hhaha fox news projects Utah, Montana to go Romney! Hahahahahahahah!