Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,568
miye bado sijaweka manyanga chini.. kwani hapa Michigan amepewa Obama... lakini kura ndio zinazidi kupigwa ngoja waiondoe ila kama FL inaenda kwa Obama.. well mjaluo anarudi
hadi sasa Obama ana 275 electrol votes dhidi ya 203 za Mitt Romney!
Wafuasi wa Romney wana lia sana!