Mkuu umechukuwa muda sana.BTW CNN wamesha project kuwa Obama kashinda uchaguzi wa 2012,na party kidogo kisha naenda kulala,poleni sana na mtabiri wako Mwankijiji,nadhani atakuwa dissapointed sana.Sijui hii thread atachangia tena ama vipi?Poleni sana manazi wa wabaguzi(no pun)Nimekubali Kushindwa.............dahhh
Nimekubali Kushindwa.............dahhh
Mkuu siyo Iowa,ni USA imeenda kwa Obama!Iowa imeenda kwa Obama
Kama uchaguzi hautakuwa na drama za 2000 baso Mitt Romney atashinda urais jwa kati ya 52% ya electoral votes. Obama hata hivyo anaweza kushinda popular votes. Kwa kufuatilia hizi siasa Romney atashinda VA, WI na OH pamoja na FL nai have strong feelings kuwa atachukua PA.
That's my guess work
Wapi MM na Ogah, 275EV as we speak, vp tunaendelea?
Nimekubali Kushindwa.............dahhh
aisee miye bado nipo... ngoja usiku wa saa tisa muone wenzao wanageuza...
Duh!Michigan tena?Ha ha ha!Duuh!Goodnight anyaways maana naona siyo kwamba sintokuelewa,bali hatuta elewana,btw unatizama fix?Daah!miye bado sijaweka manyanga chini.. kwani hapa Michigan amepewa Obama... lakini kura ndio zinazidi kupigwa ngoja waiondoe ila kama FL inaenda kwa Obama.. well mjaluo anarudi
Mkuu siyo Iowa,ni USA imeenda kwa Obama!