Riwaya: Siri

Riwaya: Siri

Aisee. Noma Sana story matata Sana hii hongera Sana kwako mtunzi.
 
Hatari sana

Hadi wakati huu bado sijaliona kosa la raisi. .kuamua kumshikilia Olivia na mzee agrey. ..

Hata kama mimi ningekuwa ndiye raisi ninge fanya kama alivyo fanya raisi. ... story nzuri sana

Ila Kuna baadhi ya vipande kwa namna fulani vinahusiana na simulizi ya peniela
In kwwli Rais inaonekana hana kosa kabisa, sijapata kujua nini kitatokea mbeleni
 
Ahsanteni Sana kwa Ushirikiano wenu,Wazee wa lawama pia ahsanteni ...Tupo pamoja
Ahsante pia Japo kwa matusi na Maneno Makali Lakini ulivumilia pia tuwashukuru waliokuwa wanakupa back-up ya kutuletea baadhi ya Viapnde hapa all in all Ubarikiwe sana. Tunahitaji kupata vitu vinavyoweza kutufanya Akili zetu zifikirie vitu nyuma ya Pazia siyo Kila SIKU kufikiri habari za Akina Menina na Kigogo2014.
 
Kweli mkuu.Kwa kushirikiana na Mbududa naona Game limemalizika
 
Ahsanteni Sana kwa Ushirikiano wenu,Wazee wa lawama pia ahsanteni ...Tupo pamoja
Mkuu hatuwez kupata huo muendelezo wa scandal, kama unayo tupia hapa jukwaan tafadhal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom