Ulopo
Senior Member
- Mar 13, 2015
- 111
- 83
Nishapiga msosi sana hapo! Daaa kuna mtu namkumbuka sana ikitajwa hii migahawaNenda mandi almaida lumumba karibu na ccm . ukapie mandi mbuzi . au pilau ya bismat... utajua wasomali hawafai kwa mapishi
kama unatokea moroco ukishapita mataa unaelelea kigogo kabla hujafika kituo cha mikumi mkono wa kushoto ukishatoka mataaKushoto ndio upande gani wewe???
Kama unatokea wapi???
Kariakoo / Ubungo.
Acha ushamba, KFC na PIZZA HUT ni Junk Food.Tembelea KFC au PIZZA HUT. Achana na migahawa ya ajabu ajabu
Hata mimi nimeshangaa!Duh kumbe KFC na Pizza Hut ni migahawa ya juu sana?!
Hapa huwa napakubali Sana mkuu! Wana msosi mzuri sanaBrake point Kinondoni makaburini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tembelea KFC au PIZZA HUT. Achana na migahawa ya ajabu ajabu
Sorry, ukitokea mataa ya Magomeni, Kawawa Road, kama unaenda njia panda Kigogo, kabla hujafika kituo cha daladaka Mikumi, kushoto kuna msikiti mkubwa sana una rangi nyeupe, unaitwa Masjid Idrissa. Katika geti lake linalotazamana na hotel ya Traventline mbele yake kidogo kuna frame ya restaurant.Kushoto ndio upande gani wewe???
Kama unatokea wapi???
Kariakoo / Ubungo.
, Kumbe KFC wanauza na vyakula vingine...?? Mie nkajua ni chipsi pekee.. Ushamba shida, mweeeehTembelea KFC au PIZZA HUT. Achana na migahawa ya ajabu ajabu
Nenda mayor restaurant kariakoo mtaa wa nyamwezi karibu Na msikiti wa makonde zamani ikiitwa zitta restaurant hapo unapatikana Msosi wa nguvu kuanzia breakfast mpaka lunch kila kitu kipo sawa Na vimepikwa kwa ufundi wa hali ya juu mpaka juice ya pale sio mchezo
Tembelea KFC au PIZZA HUT. Achana na migahawa ya ajabu ajabu
Tafuta pesa zaidi. Utafurahia maisha.Hapo KFC au Pizza hut za Dar hovyo sana, hata nyau hashibi alafu bei za kishetani sana
HapanaDuh kumbe KFC na Pizza Hut ni migahawa ya juu sana?!