Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

Juliana yes but kwa chefkile hapana...nyama nzuri insta na mapichapicha, ila nenda pale Ramada kale ooooi mbaya balaa
Yuko ramada au Mbezi?
Ramada itakua ni branch ingine na inawezekana kawaacha watu wafanye kazi ndio wanavurunda.
 
Yuko ramada au Mbezi?
Ramada itakua ni branch ingine na inawezekana kawaacha watu wafanye kazi ndio wanavurunda.
Sasa Ramada iko wapi mkuu? Si mbezi

Nachomaanisha yuko karibu na hiyo hotel mkono wa kushoto kinyumba ndo anapikia kule kwa wateja kumeezekwa na mabati na yy mwenyewe ndo chef pale.... nimempigia simu atuandalie mapochopocho ya elfu 30...daaah sikuamini asee misosi ina sura nzuri ila haina ladha kabisa

Beef ndo kabisa linalendemkaa, kuku hamna kitu labda kachumbari
 
Hao Brake point kino kuna siku nilijilaumu, nilienda na njaa yangu nipige supu kuku kienyeji nilikoma nikaletewa kisupu hakieleweki.
Nikapigwa 16k kipaja flani hivi na kandizi na maji ndogo.
Ila niliwaibukia tena na masela walikoma,
Kula sana nyama Mix kila kitu, ulinzi jamaa wapo huko huko jikoni kusimamia show
Chooni balaa kuchafuuu
Break Point mapichapicha yao ya insta hatari ila uhalisia sasa 😂
 
alafu hizo ni bei za zaman kuna mpyaa sasa hivi sema chakula cha akemi ni big No nilikulaa biryani lao nahisi lile walipashaaa
Nilikuwa nina mpango wa kwenda kula buffet yao aisee 🤦🏾‍♂️🤣
 
Back
Top Bottom