Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

Kushoto ndio upande gani wewe???
Kama unatokea wapi???
Kariakoo / Ubungo.
Sorry, ukitokea mataa ya Magomeni, Kawawa Road, kama unaenda njia panda Kigogo, kabla hujafika kituo cha daladaka Mikumi, kushoto kuna msikiti mkubwa sana una rangi nyeupe, unaitwa Masjid Idrissa. Katika geti lake linalotazamana na hotel ya Traventline mbele yake kidogo kuna frame ya restaurant.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Bery Simple.mimi nina lost ya almost 50 best restaurant here in dsm.
Ila nenda trip advisor.
Andika best restatin dsm.
Anza kutembelea namba moja mpaka utakakapochoka.
This is what I do and never regret.
La sivyo kila siku utaishia kwenda break point kula chips kuku au samaki samaki.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom