Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

wewe jamaa nimemuona limbukeni tu.
Mtoa mada anataka restaurant yenye vyakula vya asili ya kiafrika wewe unaongelea habari za piza na burger.
Hayo ni mambo ya wazungu tuwaachie wazungu,mtoto wa kiume unashibaje kwa kula piza.
Tembelea KFC au PIZZA HUT. Achana na migahawa ya ajabu ajabu
 
Nimeshindwa kufanya decision. Sijui girlfriend wangu nimpeleke mgahawa gani weekend ijayo akimaliza UE.
 
Nenda hapo
60c8d018228846a6bbd96b8cc95cb688.jpg
 
Hapa huwa napakubali Sana mkuu! Wana msosi mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Brake point kino kuna siku nilijilaumu, nilienda na njaa yangu nipige supu kuku kienyeji nilikoma nikaletewa kisupu hakieleweki.
Nikapigwa 16k kipaja flani hivi na kandizi na maji ndogo.
Ila niliwaibukia tena na masela walikoma,
Kula sana nyama Mix kila kitu, ulinzi jamaa wapo huko huko jikoni kusimamia show
Chooni balaa kuchafuuu
 
nenda kwa sarah raqey wanapika chakulaa kitamu sanaa saana /dar free market na msasani mall
 
Mkuu sogea pale maeneo ya King’oko Mikocheni karibia na Kairuki Hospital..kuna pilau tamu dunia nzima bei 2500/= tu za kitanzania
 
Sijui niende wapi. Sitaki kutumia zaidi ya 10, 000 nikiwa na girlfriend wangu.
 
Back
Top Bottom