Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
37,483
Points
2,000

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
37,483 2,000
Ndugu zangu wenyeji wa dar, ivh ni sehemu gani nzuri ambayo wanauza vyakula vitamu vitam kipenzi cha wengi. Sometimes mm naona ni vzur kubadili mazingira. Bei haijalishi
Butiama Restaurant mtaa wa Idrissa Magomeni,pilau ya hapo haina mfano Dar nzima
 

Forum statistics

Threads 1,356,317
Members 518,876
Posts 33,130,434
Top