Restaurant gani au wapi wanapika chakula kizuri kwa Dar es Salaam?

El-Mayore

Member
Sep 30, 2018
16
45
Nenda mayor restaurant kariakoo mtaa wa nyamwezi karibu Na msikiti wa makonde zamani ikiitwa zitta restaurant hapo unapatikana Msosi wa nguvu kuanzia breakfast mpaka lunch kila kitu kipo sawa Na vimepikwa kwa ufundi wa hali ya juu mpaka juice ya pale sio mchezo
 

ChickMagnet

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,656
2,000
Kuna moja ilikuaga pale posta azam karibia na round about ghorofani sjui bado ipo aisee nilikulaga prawns watamu mpaka leo nawakumbuka
 

super nova

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
1,475
2,000
Akemi restaurant goldern jubillee tower ni sehemu nzuri sana view wise and hospitality bufe ni Tsh 35 mchana is in point au Serena ambapo bufe ni 65
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom