Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Kama ulimtongoza mjukuu wangi, lipa nusu mahari dhambi yako ifutwe mbinguni na dunianiOh God...
I once was a close friend... I talked to her
Kama ulimtongoza mjukuu wangi, lipa nusu mahari dhambi yako ifutwe mbinguni na dunianiOh God...
I once was a close friend... I talked to her
😁😁😁Wiki moja namaliza lita tano 😂😂 kitambii kiko juu juu now
Hili ni tatizo kubwa sana NchiniHaswaa sisi wenye umri wa miaka 40 huko,tunakufa sanaa
Huwa ni vigumu kufuta kumbukumbu za Kifo cha mpendwa wakoNakumbuka uncle amefariki sikufuta namba, sasa baada ya miezi minne auntie akanipigia kwa namba ya uncle alafu nilikuwa nishalala nilishtuka sana na sikupokea hadi alipotuma msg ingawa nikamtafuta kesho yake nikimdanganya kuwa nilikuwa nimelala.
😁😁Kumbe hawezi penya
NitKuwa navaa viatu vya kutumbukiza tu😁😁😁
Utashindwa kufunga kamba za viatu, ohoo.
hahahahahahahaha! I mean uwiiiiiwiiiiwiii!!Niko njiani naenda msibani nikifika nitajaribu, ilaa nna maumivu sana .
yes tukaendaga mpaka kundi la jf whatsap ,sijui bado kama bado lipo...daaah Mungu amlaze mahali pema peponiApumzike kwa amani.
Id yake ilikuwa inaonekana onekana sana miaka ya 2018
Pole sana mkuu.yes tukaendaga mpaka kundi la jf whatsap ,sijui bado kama bado lipo...daaah Mungu amlaze mahali pema peponi
😁😁NitKuwa navaa viatu vya kutumbukiza tu
Unataka watu wajue?Sjui nani atajua nikifariki
Weka picha hata ya ovatar yake sasa wasiomjua waitambue hataMimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi.
Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.
Update:
Mazishi ni siku ya juma3, tarehe 27.
Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani pale alipokuwa akiishi Mpendwa wetu Valee. (Maghorofani) na baadae tutaelekea Makaburi ya Njiro - Arusha kwa ajili ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele.
Mwanga wa milele ukuangazie kipenzi chetu Valentina Upumzike Salama.
Forever in our Hearts 🕊️💔