TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Apumzike kwa amani nimenyapia post zake za nyuma hakua mboga mboga Fc
 
70a5fca8-8a44-40e1-96a6-57dfd7dec23f.jpeg
70a5fca8-8a44-40e1-96a6-57dfd7dec23f.jpeg
 
R.I.P kwa Valentina,
Binafsi sikuwahi kulijua hili jina kabla Wala kuona hata comments zake humu, hakua active member?
 
Valentina alikuwa mdada Poa sanaaaaa na nimechat nae inbox na id yang ya zamani. Apumzike kwa amani 🙏
 
Back
Top Bottom