TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Mimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭

Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi.

Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.

Update:
Mazishi ni siku ya juma3, tarehe 27.
Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani pale alipokuwa akiishi Mpendwa wetu Valee. (Maghorofani) na baadae tutaelekea Makaburi ya Njiro - Arusha kwa ajili ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele.

Mwanga wa milele ukuangazie kipenzi chetu Valentina Upumzike Salama.

Forever in our Hearts 🕊️💔
Oh God...
I once was a close friend... I talked to her
 
Back
Top Bottom