TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Ni ngumu sana lakini binafsi sioni haja ya kufuta.

Apumzike kwa amani valentina, alikua mtu mwema sana .
Ni mawazo yangu kwamba, kuendelea kuwa nayo, itazidi kuongeza majonzi na simanzi hasa ukikumbuka huwezi kumpata tena hewani

Alizoea kunitania hapa, akiona nimekaa kimya nakuta simu inaita akinipigia 🙌

Babu umekufa nini kwa Uzee, mbona sikuoni hewani 🙌😭😭
 
Pole mkuu , kwa nyinyi mliokuwa na mawasiliano zaidi ya hapa kwa kweli inauma zaidi kwenu, hata hivyo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na kila kiumbe kuwa na mwanzo na mwisho.
Tunamuombea mapumziko yenye amani na ajaliwe kukutana na Mungu.
 
Hakika Mkuu

Mungu ampe pumziko la amani, mbele yetu nyuma yake 🙏🙏
 
Back
Top Bottom