Reminder to all MMU

Reminder to all MMU

Huwezi leta mada ambayo wengine wanaiona ina utata
halafu ukiulizwa maswali au mtu akichangia against na wewe
useme ni personal attack
......
kama hutaki kujadiliwa au kuulizwa au kupingwa peleka threads chit chat..

Touche..
 
Hata mimi naunga mkono hoja.... Ubarikiwe kwa kuja na mawazo chanya kama haya.....
 
Mnaongelea nini kabla sijachakachua hii sredi?

Tunaongelea kuwepo na subforum ambalo ni uchakachuzi free zone; ni full mapwenti tu na ushauri wa kujenga na si kufindishana namna ya kula tigo vizuri.

What do u think King'asti?
 
Last edited by a moderator:
By King'asti

ooooky! Sasa mbona ile great thinkers ndo mahsusi kwa u-serious? Na vijana wanaotaka kuji-ekspresi na kujifunza kupatafuta mimba wataenda wapi?
 
Last edited by a moderator:
ooooky! Sasa mbona ile great thinkers ndo mahsusi kwa u-serious? Na vijana wanaotaka kuji-ekspresi na kujifunza kupatafuta mimba wataenda wapi?

Yes, ndicho ninachoshauri; yaani subforum ya GT as in Jukwaa la Siasa iwepo pia na MMU, mods wanachoose thread ambayo inaqualify inakuwa posted huko ambapo kuna limited no ya wachangiaji (ambao wameomba na kukidhi matakwa), huko wanatoa ushauri au maoni yao yaliyoenda shule; utani na uchakachuzi ubabaki kwenye general MMU forum na other social lounge forums!
 
Kwakweli mods wakizingatia haya maoni yetu jukwaa hili litapendeza sana zaidi ya hapa.

I also think so, watu watapata the most of it; leo nimesikiliza kipindi kimoja cha cloud, ambapo walikuwa wanazungumzia wakaka wanaojisifia kuwa na watoto somewhere lkn hawawatunzi.
Nafikiri hicho kipindi kilianza jana, so leo mkaka mmoja akaguswa akaona kwa maslahi ya mtoto amuomwambie mzazi mwenzake wafunge ndoa ili mtoto apate malezi yao wote. I was so touched, kuwa ushauri mzuri unaweza leta positive impact kwa maisha ya watu. With a serious subforum pia yaweza leta positive impact kwenye lives za watu.

Currently, ushauri mzuri unakuwa neutralized na matani au uchakachuzi na inahitaji nguvu na busara ya ziada kuchuja what to pick n what to leave.
 
kwa kweli inabidi tufike wakati tukubali kuwa ili jukwaa ni la muhimu sana kwa maisha yetu kwani mahusiano na mapenzi kwa kiasi kikubwa yanaendesha maisha yetu kwa hiyo hili la kuwa na userious katika michango na kupunguza masihara ni muhimu na hili mods wanaweza kutusaidia na hili jukwaa lika heshimiwa kama ilivyo majukwaa mengine kama siasa, muda mwingine tunakuwa tuna hitaji ushauri kutoka kwa wenzetu lakini my mtu anaweza aka kwama kuomba kutokana na kejeli,matusi kutoka kwa member.

Ni vyema mods wakazingatia haya kwani yatalifanya hili jukwaa kuwa kimbilio la wengi kuzidi hivi sasa kwani watajua ni sehemu ya kupata suluhu ya matatizo yao.

maisham yetu kwa kiasi kikubwa yanaongozwa na mapenzi ,mahusiano.

Umeona eh?

Nami nachukua fursa hii kuwaageni wa MMU. Wengine bila kuchakachua kidogo tunajihisi kama tunaichungulia mochware.
Kwaherini bandugu.

You got it all wrong, tunachoomba ni kijisubforum kama cha love connect lkn hiki ni cha serious matters tu.
 
The boss unanitafutia BAN ya nguvu! Kwani kitu nikiandika lazima usome? wewe ushajua mada zangu sio endelevu si usome thread zingine? Kuna thread 100 kwa siku zote mpya!

Mimi siwezi kuandika kitu unachokitaka au unategemea niandike! Kama maisha yangu na wanaonizunguka umeona Huyapendi usisome thread zangu. Siwezi kuandika mambo ya MKE MWEMA wakati sio kweli, na siishi hivo! Sasa we ushanijua kwanini upate taabu ya kusoma na kucomment!
Mimi kuna watu nishawajua kuwa mada zao ni endelevu na mimi sio mpenda maendeleo so sisomagi thread zao hataaa! Ila najua kuna watu wanazipenda so siwezi kwenda kule kuwachafulia napita kimya kimya.

Hitimisho I POST WHAT IS IN MY LIFE! IF U DONT LIKE IT SIMPLY DONT READ MY THREADS

Mimi nikutafutie wewe ban?
mbona unalazimisha nikupe umuhimu ambao hauna?
hii thread nbi ya Kaunga sio?
tunachangia namna ya kuboresha MMU sio?
sasa wewe umeingilia wapi hapa?

unless una some issues zinakusumbua....mimi niko MMU
Nazungumza threads za MMU na taratibu zake....

na watu kama wewe ambao hamtaki watu wachangie threads simply sababu
unaona watu wanakutafutia BAN....au wako tofauti na wewe
ndio tunashauri hapa ....threads za aina hiyo zipekekwe Chit chat au jukwaa la kikubwa
ukizileta MMU tutachangia hata kama kwa kuchangia tutakusababishia ban au kukuongezea stress...
wewe sio unae set rules here,hata ukiweka threads sio kwamba una i own....
kuna rules...na hizo rules tukiona hazifuatwi tutazungumza.....ndio MMU ilivyo...
 
Last edited by a moderator:
well said Kaunga, kwa kujazia kuna post ambazo ni za kitoto kabisa. eti mtu anaanzisha thread kuwa kamtongoza mdada afu kakatiliwa,so anaomba ujuzi!!!!! thread kama hizi zipelekwe chit chat. na kuna wengine wanacopy facebook wanaleta huku. mods tafadhali fanyieni kazi hili. . . .
 
Last edited by a moderator:
...tunachangia namna ya kuboresha MMU sio? sasa wewe umeingilia wapi hapa?..ukizileta MMU tutachangia hata kama kwa kuchangia tutakusababishia ban au kukuongezea stress...wewe sio unae set rules here,hata ukiweka threads sio kwamba una i own....kuna rules...na hizo rules tukiona hazifuatwi tutazungumza.....ndio MMU ilivyo...

The Boss I think we should focus on how to re-mould the MMU forum rather than taking this too far. Otherwise this will distract our motive. With all due respect buddy!
 
Mimi nikutafutie wewe ban?
mbona unalazimisha nikupe umuhimu ambao hauna?
hii thread nbi ya Kaunga sio?
tunachangia namna ya kuboresha MMU sio?
sasa wewe umeingilia wapi hapa?

unless una some issues zinakusumbua....mimi niko MMU
Nazungumza threads za MMU na taratibu zake....

na watu kama wewe ambao hamtaki watu wachangie threads simply sababu
unaona watu wanakutafutia BAN....au wako tofauti na wewe
ndio tunashauri hapa ....threads za aina hiyo zipekekwe Chit chat au jukwaa la kikubwa
ukizileta MMU tutachangia hata kama kwa kuchangia tutakusababishia ban au kukuongezea stress...
wewe sio unae set rules here,hata ukiweka threads sio kwamba una i own....
kuna rules...na hizo rules tukiona hazifuatwi tutazungumza.....ndio MMU ilivyo...
kaka mkubwa kaongea hapa!
 
The Boss I think we should focus on how re-mould MMU forum rather than taking this too far. Otherwise this will distract our motive. With all due respect buddy!

well nimesoma wee yani nimeguswa kwakwewli!mimi hili lakuboresha hili jukwaa naliona la msingi sana!kuna wakati huwa najiuliza hivi hakuna kitu tunaweza kufanya zaidi ya haya ya kusoma nahisi nampenda lakini naona aibu kumwambia!kuna watu wana issues very genuine na ukizingatia sio wote tuna karama za kuseek for advice kwa wale walio karibu yetutunaona kwa kuleta humu kuna unafuu,sasa ndo umelileta then unakutana na masikhara au unapewa ushauri amabo unaona kabisa hapa niliiingia chaka kuja kuomba ushauri,kwa kweli kidogo tuweke mambo sawa,though isiwe that much serious lakini iwe ile ambayo hata mtu aanakuwa atease kuona linalomsibu sio tatizo saaana!BTW my pacha upo?(nachakachua cha mwisho mwisho)
 
You got it all wrong, tunachoomba ni kijisubforum kama cha love connect lkn hiki ni cha serious matters tu.

Serious matters bila chombeza za uchakachuzi kiduchu?

Raha ya mapenzi chombeza bana. Stress za nini kama jukwaa la CCM vs CDM?

BTW Hilo jukwaa serious la MMU, CCM ndo wanawake na CDM ndo wanaume au vice versa? Acheni siasa za ngumi jiwe kwenye MMU

Nshasahau kumbe nlishaaga eh?
 
Dah!Kiukweli MMU kuna wakati inakera sana,unakuta thread ina page kibao,ukiangalia kilichojadiliwa ni utani mtupu Kiranga aliwahi kuonya lakini hatukusikia labda wakati huu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom