Reminder to all MMU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Reminder to all MMU

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by super thinker, Sep 12, 2012.

 1. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimeonelea niwakumbushe wanajamii hususani jukwaa hili la MMU, mtu anapoomba ushauri tumshauri kweli kwa busara zote, tusianze mtupia matusi ama lugha za utani uloptiliza, kuna jukwaa la jokes nadhani lipo kwa minaajili hyo, humu mtu anataka ushauri wa kweli kwa yanayomsibu ila watu tumejisahau na kugeuza MMU kama forum ya Jokes na Matusi, tujitahidi....................kama huwezi, waweza pita tu na kuwaachia wa kushauri wafanye kazi yao.

  Na unayeomba ushauri, uwe kweli ni mkasa realistic, either umetokea au waweza kutokea.

  Ni hayo tu, naona tunaptiza sasa..

   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ushauri siriaz kwa mada siriaz
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tatizo pia lipo kwa wanaopost uchwara.
   
 4. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Operesheni ya kichwa kwa maumivu ya kichwa.
  Thanx 4 ushauri mheshimiwa.
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,958
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Wallah ntaongea na Invisible ampige chini Roulette akupe wewe na Paw kazi ya umodereta ili wanaoleta za kuleta wakaipate habari yao kwa babu Seya. BTW Roulette nadhani utakuwa umenielewa, nakuhitaji PM zaidi sasa unapokuwa mod, nakukosa sana kwenye chombeza PM kule. I hope hutanilamba Ban kama Meezy LOL

  On serious note with a serious face, wanaoleta mada nao wawe serious. Wakileta misredi yao iliyokaa kiuchakachuzi, mie na timu yangu tunaingia kazini.

  Natumaini wachakachuzi wakuu sweetlady, Preta, charminglady, Dena Amsi, cacico, Yummy, BADILI TABIA, Kongosho, Kaunga, AshaDii, Blue G, Cantalisia wakiongozwa na Erickb52, Mr Rocky, BAGAH, Kaizer, Rejao, Bishanga, KARIA, Judgement, King'asti na Mwali watapita hapa ili wajue uchakachuzi MMU hauruhusiwi.

  Ukitaka uchakachuzi, karibu Chit Chat uonyeshe kipaji chako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Umesomeka mkuu, loud and clear!
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  asante ndugu mwenyekiti...
  umesomeka...
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Ukileta cheni bandia na unapatiwa fedha bandia leta mada serious upate ushauri serious

  Asprin una kesi ya kujibu

  Na ushauri anapata uchwara vile vile
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Veri veri true.. Nadhani tumezidisha sifa za kijinga. Tujiheshimu hata kama tumejificha kwenye keyboard.. Tunabomoa badala ya kujenga....
   
 10. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,958
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Sasa mtu akileta sredi yake hapa anaomba ushauri afanyeje kwa kuwa mama yake anataka azae naye..... huku si kumchokoza tu ODM wa watu? Akifungua foto album yake atakuwa amefanya mbaya?
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kutukumbusha. Yalikukuta?
   
 13. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  SIZANI KAMA KUNA MTU ANAPENDA BAN ILA KUNA WATU HUWEZI TOFAUTISHA NI MNYAMA AU BINADAMU KWA MAWAZO NA MICHANGO YAO UKITOA MADA ZA KISTAARABU SIDHANI KUNA TMU ATAKUJIBU VIBAYA TU PENDA USIPENDE MFANO HUU HAPA
  https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/321843-nahitaji-mwanamke-wa-kumlipa-anizalie-mtoto-kwa-mkataba-8.html#post4614509
  ANASEMA YEYE NI TAJIRI NA AMEJITOSHELEZA ANA HELA AMEAJIRIWA ARUSHA NA BADO ANASOMA CHUO, HUYO MTOA MADA WE HUJAKASIRIKA KWELI? FUATILIA UTAONA WOTE WAMEMJIBU UJINGA KAMA ALIJIONA ANAYAEWEZA KWANINI ASIMALIZE ANATUPOSTIA HII KITU?????
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hubby na mie nimo?

  Ila mleta mada hata ukilalama kama mtu hajaleta thread serious ategemee majibu ambayo sio serious.... Kabla mtu hujaposti thread yako icheki vizuri, ukipost kitoto utajibiwa kitoto, ukipost kiutu uzima watakushauri kiutu uzima...... N lugha pia inachangia ukiandika lugha kama upo kariakoo shimoni tegemea majibu ya aina hiyo hiyo....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Unachosema ni kweli kabisa huku MMU kila mtu ni Mod yaani wanaweza kuiacha Mada wakaanza kukushambulia wewe uliyetoa ushauri au kuchangia, yaani bora hata jukwaa la siasa, wote tujirekebishe kwani kila jukwaa lina Sheria zake, na MMU haijaelezwa Thread itakayowekwa iwe na ukweli hata km ni ya kuchangiwa (Mashatrti hayo yapo katika Majukwaa ya Great Thinker, Siasa, International nk)
  km haikuhusu ww pita lkn sio kukashifu mchangiaji au mtoa mada
   
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Umeona eeeeh
  Kwa thread zilizo serious huwa naona hata wadau wanakuwa serious sana tu ila kuna nyingine lol wacha washambuliwe tu coz wanaleta utoto then eti sisi tuwe serious?
  Inawezekana kweli BADILI TABIA ?
  Sisi tunachangia kwa kufuata mtoa mada....akija kagonga ndofu 2 si tunagonga 3 then tunakanyaga mafuta...!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mtu mwenyewe hayupo serious, haiwezekani mtu mzima unadownload VIRUS 24/7 halafu watu wasipost tuvirusi hata budogo budogo as we say in kiha!
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Kwa vile kumekuwa na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu jukwaa kuvamiwa, mimi nafikiri kuwepo na sub forum ya Great Thinkers kama ilivyo kwenye siasa; kuwe na qualification katika kuchangia kule. Na maswala yanayoumiza kichwa tu ndiyo yajadiliwe huko.

  Post kama 'napita tu' zisiwepo,
  Uchakachuzi aina yoyote usiruhusiwe,
  Matani/jokes ambazo hazijibu hoja zisiruhusiwe.

  Nadhani hii itasaidia wenye real problem kupata misaada ya michango ya mawazo mizuri ili wafanye maamuzi yanayofaa. Mahusiano ni changamoto na itaendelea kuwa changamoto, trend iliyopo sasa hivi mchangiaji wa kwanza akijibu hovyo au kuweka mizaha, basi trend yote ya michango hubadilika na kuwa mizaha/utani au hata matusi.

  Ninajua wengi wetu, mimi mmoja wapo ni wachakachuzi wazuri tu; lkn kukiwa na restriction huko (kwamba once umechakachua then unanyimwa access ya kupost huko) then heshima ya zamani (before my time) itarudi.

  Au kama kuanzisha sub forum ni tatizo basi, jukwaa zima liangaliwe upya na rules ziangaliwe tena ili vitu visivyo serious vibakie chit chat!

  Sijui kama nimejieleza vizuri, lakini hayo ni maoni yangu; you are welcome to contribute.
   
 19. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kweli dear
  private conversation nje ya mada siziruhusiwe kabisa kwani pm imewekwa ya nini?
   
 20. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ni kweli Kaunga naona kama kumekuwa na mizaha mingi na wakati mwingine kupoteza kabisa dhima na maana nzima ya mijadala. Kwanza binafsi labda niseme matatizo yako kotekote..yaani kwenye thread na pia kwenye posts zinazofuatia. Kiufupi tujifunze namna ya kuleta mada na ikibidi mleta mada anapotupia uzi wake basi ajitahidi kuwepo ili kufuatilia mada yake. Unakuta mtu anatupia thread ambayo inataka mrejesho kisha anasepa..sasa uchangiaji unakuwa mgumu kiasi ambacho inabidi uchakachuzi upewe nafasi. Kiufupi 'threads' nyingi ni kama 'taarifa' yaani hazifikirishi na saa zingine mtu unashindwa kuelewa mantiki ya mletaji

  Kingine kwa sisi wachangiaji hebu tuwe focused na mada na kama ni 'chit chat' zihamie jukwaa lake na hapa MMU pabaki kwa ajili ya mijadala ambayo ni 'constructive'. Kama alivyosema Kaunga posts kama 'napita tu'. 'ngoja waje', 'mmmmmh' n.k naona nazo tungezipunguza ili kama mtu unaona huna cha kuchangia basi waache wennye michango wachangie. Wewe ubaki msomaji tu.

  Uboreshaji unaweza kuwa wa kuwa na 'sub forum' kama kule kwenye siasa ambako wana kale ka 'great thinker's forum' ambamo ukiingia basi mtu inabidi umwage mapwenti. Kama vipi pia mods wanaweza kuboresha 'moderation' kwa kuongeza 'rules' ambazo zitazuia uchakachuaji wa threads.

  Ni hayo tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...