Reminder to all MMU

Reminder to all MMU

Yan umenigusa san maan hat kam unatatizo lak unashindwa kuomb ushaur maana unakut m2 anatatiz serious lakin w2 wanavyofany mzah mpk unaumia unaon haina maan tubadilike
 
Kaunga thanx ni ukweli uliyosema ila nahisi ukiwekwa mkakati madhubuti watu tutarekebika maana badala ya ushauri Kwa wahucka bac mizaha, dhihaka namatusi ndo wapewa wengi.. wengine wanaumizwa zaidi na hata kujutia kuomba the so called ushauri..
 
Nimeonelea niwakumbushe wanajamii hususani jukwaa hili la MMU, mtu anapoomba ushauri tumshauri kweli kwa busara zote, tusianze mtupia matusi ama lugha za utani uloptiliza, kuna jukwaa la jokes nadhani lipo kwa minaajili hyo, humu mtu anataka ushauri wa kweli kwa yanayomsibu ila watu tumejisahau na kugeuza MMU kama forum ya Jokes na Matusi, tujitahidi....................kama huwezi, waweza pita tu na kuwaachia wa kushauri wafanye kazi yao.

Na unayeomba ushauri, uwe kweli ni mkasa realistic, either umetokea au waweza kutokea.

Ni hayo tu, naona tunaptiza sasa..

Ndugu hapo umeongea sawasawa kabisa . haiwezekani pahali ambapo tunasema is home for great thinkers pawe kijiwe cha wahuni. Nazani wana JF wanatakiwa watambue hilo otherwise mtu ambaye atakuwa anatoa maneno ya ajabuajabu ambayo hayafanani na great thinker . Tumkatae huyo
 
akhsante sana, upo sawa kabisa..naona jukwaa letu hadhi yake itaanza kurudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom