Yuko kwa Smiling Saint....Mpenzi wake...barafu wa moyo wake
dah umenikumbusha dada yangu ninayempenda sana, kongosho... wa kunyumba kabisaaa
nashukuru umekubali kufanana kwako na wasira uwe makini ukizidi sana utakuwa kama "Kazi loose-nde" sawa shemeji?
Teh aliangusha radi za hatari humu hadi nikatetemeka....Shem haya ni ya kweli haya? Umepost nini? Watafutaje post ya MoY bila taarifa? Hebu nitonye ukute na zangu zafutwa sian habari.... Mzim lakini?
Nampenda Rejao wangu tu basi,Na Rejao eeeh
Na ule unga wa ulezi uliomuomba Amyner usije kuuchukua tena.....
Na yale magazeti yangu uliyochukua jana uniletee haraka
Hivi wewe la kwako sio kama chozi?
Usije tutia aibu...ikibidi hizo malta kunywa wewe ili kuficha aibu za kiduchuuuu kama chozi
Poa tu na hayo ni maneno hata kwenye keki yapo na tunayala tu source;Kongosho,
Mie na Rejao,Rejao na mie!hata km nitanukia samli i dont care!!
Hahahahaaa kiduchu ka chozi!? Na huyo nae anahesabika kwani..
teh teh teh ... mnikumbushe malta zenu baadae pale mcmoodys
Hahahaaaa aisee labda ni kuku....
Smile haujambo binti yangu.
Kwa kauli yako natangaza kuwasamehe bure!!!wasamehe bure. Hawajui watendalo
Yan mi natakiwa kupendwa na Amy tu....Nampenda Rejao wangu tu basi,
Magazeti nshachoma,na Amy atabaki kuwa shosti wangu km kawa,
Ila ww na Bagah siwapendi tena!
Asante Bi sisy,Wapendwa nawasalimu with Love....
Wapambe mbona zuri sana,
Nawaita makuwadi!
Kwa smile.Shemeji kwa nani?
Hata mie sikumaanisha kuwapenda kimapnz,Yan mi natakiwa kupendwa na Amy tu....
Wewe utabaki kuwa shemeji yangu kwa kuwa Rejao anaendeleza zoezi la kurutubisha mtoto tumboni....
Wapendwa nawasalimu with Love....
Teh teh teh!hah! sasa naona unamkaribia kijana wa mtera! ndio anayokufundisha re-ja-o? nasikia hata ku-click alikufundisha yeye!